Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
bara letu la afrika limekuwa na kasumba ya kuongozwa na marais wazee ambao mara nyingi wamekuwa wakiingia na kubakia madarakani kwa hila. nyuma yao ni kundi kubwa la vijana wasio na ajira na elimu wakiwashangilia na kuwapgia kura.
marais hawa wazee wamekuwa wakizisigina Katiba za nchi makusudi kwa maslahi yao binafsi lakini cha ajabu washangiliaji wakubwa wa michezo hii ya wanasiasa wazee ni sisi vijana.
marais hawa wazee wamekuwa wakijitungia visheria vya ajabu kama sheria ya fao la kujitoa na hatimae tunaoumia ni sisi vijana ambao wengine ajira zetu hazina garantii lakini tunawashangilia na wanasaini sheria za namna hii kutuumiza sisi.
tufanye hivi...
2020 tuachane na kasumba ya kuwashabikia na kuwapigia kura hawa wazee awe wa chadema, act wazalendo, cuf au ccm. tupige kura kwa mgombea urais kijana mwenzetu hawa wazee jamani hawana jipya.
na hii iwe kwa ngazi zote: udiwani, ubunge na urais.
hivi kijana na akili zako 2020 unaenda kupanga foleni kumpigia kura ole sendeka?
2020 unaenda kupiga kura yako kwa ndugai lazima utakuwa na walakini.
chansela wa Austria ana umri wa miaka 32 tu. Emmanuel Macron wa Ufaransa sidhani kama kazidi miaka 40.
2020 mzee yoyote iwe nafasi ya udiwani, ubunge, urais piga chini.