Wito kwa Rose Mwakitwange et al | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito kwa Rose Mwakitwange et al

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Desteo, Aug 13, 2011.

 1. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tumepata ukweli kuhusu UDA toka kwa kisena. Imeonyesha ni jinsi gani watz walivyo wanafiki katika mambo yanayotuhusu. Tunamsulubu mtz mwenzetu kama mhalifu. Hatuna taarifa sahihi za kutusababishia kusema. Kuna mambo mengi sana ya kuhoji. Kuanzia na ukwapuaji wa hawa wageni. Tumemsikia Manji katajwa hapo. Rose fanya juu chini uandae mdahalo mwingine kuanzia na Manji. Sio kuwabana weusi wenzetu just b'se tunaweza kuwakemea na kuwahoji.
   
 2. s

  solution JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono ...
   
 3. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  senks
   
 4. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  huu mdahalo ulikuwa one sided. Nilitegemea ungewahusisha wadau wanaopinga mchakato mzima wa uuzwaji wa UDA pia. Swala siyo nani kauziwa, ila ni je mchakato ullifuata taratibu?? Kwa nini pesa za kununuliwa UDA ziende kwenye account ya mtu binafisi? Na maswali mengi ya namna hii yanatakiwa yajibiwe kwa ufasaha. Dadaangu Rose kuwa makini, usije ukaharibu heshima yako. Mafisadi wana mbinu nyingi sana kwa sababu ya uwezo wao wa ukwasi mkubwa.

  Huu mdahalo ulikuwa feki. unafana na mdahalo alioandaliwa JK wakati wa uchaguzi
   
 5. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu Rose mwakitwange si ndiye yule shabiki wa chadema, anapenda cdm dada huyu!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  rose mwakitwange aliendesha mjadala akiwa kama nani??????

  yeye ni mfanyakazi wa startv?????/

  au ana kipindi startv?????????
   
 7. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  a-aaa! Sasa wapi huko?
   
Loading...