Wito kwa Nape Nnauye,na wanaCCM Kwa ujumla

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Naona mmewaongeza Buku 7 siku za hivi karibuni humu jamvini kwa kasi ya kimbunga,....

Tatizo lao hawajui kujibu hoja,ni kuandika utumbo/Matusi na personal attacks tu...!

Mkuu Nape Nnauye,kuna haja ya kuajiri vijana wenye atleast shahada moja ya PSPA,Sheria etc...waje wajadili hoja humu ndani.....watasaidia kuwashawishi waTZ kukiamini chama chetu...!

Hawa Vilaza wenu wanashusha hadhi ya jamvi tu hapa....hawajui kujenga hoja zaidi ya matusi...

Tafadhali Mr.Nnauye,tuletee watu wenye uelewa kidogo......!
 
Baada ya kuhutubia watoto kalenga mmechanganyikwa namna hii, na bado, kipigo cha jumapili ndio mtarudia dozi zenu za mirembe vizuri
 
Mbona unapost utumbo? Mleta mada vipi tena, umepatwa na nini?

Hili ni moja ya maswali mengi ambalo wapenda mabadiliko wanajiuliza. Kwani si kawaida kwa chama kikuu cha upinzani kupoteza kete muhimu ya kujijenga kama hii. Kumetokea nini? Hawana mtu makini kwa nafasi hiyo? Hawajiamini? Wamekubali kushindwa? Wanamkubali sitta? Kama wanamkubali sitta, mbona hawajampigia kura? Kuna ajenda nyuma ya hii hali tunayoiona? Sitta ni chadema? Chadema wanaikubali ccm? Any way hili ni jukwaa la great thinkers, sitakosa majibu sahihi.

naona mazezeta mnajidanganya. babu slaa anatumbua ruzuku na hawara nyie mnabaki kupiga mayowe tu. si bure nyie ni wehu na mataahira

Mkuu Nape kama posts zinapovojionesha hapo juu
 
Mbona hao mnaowataja ni watu wawili tu wanamiliki hizo id na wanalipwakwa post na sharti la lumumba id ikishachokwa unaitema ndo maana ktk wote hakuna mwenye jina halisi.
 
Ifweero,lusungo,Msalani,laki si pesa,boko haram,Simiyu Yetu,thatha......mimi hawa post zao huwa nazi-skip
hawa ni vilaza sijawahi kuona...halafu wanakubali kazi ambayo wanajua wazi hawataweza kuifanya badala ni kudhalilika na hata perfomance yenu inaonekana ZERO! why bribing these good for nothing species? and for what? tumeshajanjaruka we know where we are going and where we should be going!
 
Naona mmewaongeza Buku 7 siku za hivi karibuni humu jamvini kwa kasi ya kimbunga,....

Tatizo lao hawajui kujibu hoja,ni kuandika utumbo/Matusi na personal attacks tu...!

Mkuu Nape Nnauye,kuna haja ya kuajiri vijana wenye atleast shahada moja ya PSPA,Sheria etc...waje wajadili hoja humu ndani.....watasaidia kuwashawishi waTZ kukiamini chama chetu...!

Hawa Vilaza wenu wanashusha hadhi ya jamvi tu hapa....hawajui kujenga hoja zaidi ya matusi...

Tafadhali Mr.Nnauye,tuletee watu wenye uelewa kidogo......!
Hata mjitetee vipi kipigo kitaendelea tu
 
Pamoja na Nape mwenyewe wanatakiwa vijana hawa wajue pia kuna haki ya kikatiba na sheria kuamini,kumpigia kura mgombe wa chama chochote cha upinzani hata kama wanakichukia.

Wanatakiwa kujua pia haki ya Mtanzania yoyote bila kujali dini au kabila ana haki ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.Na mwisho Tanzania ni yetu sote bila kujali dini,imani za kisiasa au kabila la mtu,au eneo atokalo mtu.Wakijua haya ninauhakika hoja zitajibiwa kwa hoja.
 
Hapo kwenye shahada pamenigusa na ningependa kuchangia kwenye hilo.

Nadhani kama ungekuwa na uzalendo wa sio tu chama, bali taifa, ungetoa ushauri kwa Dr Slaa asipitishe majina ya wagombea ubunge ambao hawana angalau shahada moja.

Wote tunaona utumbo anaoufanya Mnyika, Sugu, Msigwa and the rest pale bungeni, hivyo ili kuokoa upuuzi kuendelea kufanywa bungeni ni bora wote tuungane kuishauri CHADEMA kuhusu hili.
 
Unaona sasa.....??
Post yangu imewalenga watu wa aina yako..

Huwezi kuwaepa mpaka pale Viongozi ndani ya CCM pamoja na wanachama waCCM wapewe elimu ya URAIA hususani elimu ya vyama vingi ndipo tu utaweza kuyaepuka haya.Vinginevyo matusi hayataisha kwenye mtandao huu.Na si wewe pekee yanatuudhi wengi tunaotamani kupata mawazo ya kufanya kuinusuru nchi yetu kutoka kwa viongozi wasio waadilifu.
 
hawa ni vilaza sijawahi kuona...halafu wanakubali kazi ambayo wanajua wazi hawataweza kuifanya badala ni kudhalilika na hata perfomance yenu inaonekana ZERO! why bribing these good for nothing species? and for what? tumeshajanjaruka we know where we are going and where we should be going!
Hakuna namna ya kuwaokoa, mtafia kalenga, tutawazikeni chalinze
 
Back
Top Bottom