mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,379
- 3,826
ina maana na wao wamoKani unajua hizi za mochwali zimetoka kwa akina nani?
ina maana na wao wamoKani unajua hizi za mochwali zimetoka kwa akina nani?
mkuu invisible unatoa muongozo gani? Naona zimeshatinga hata humu!
hivi huu utamaduni wa kumaliza mada kwa kutumia moderators umeanza lini?. Kwanini watu wasijadili hoja kwa uhuru. You know this behavior rises a lot of questions about the forum itself.
Hii tabia ya kudeka badala ya kujadili inamsaidia nani. Huu sio utamaduni utakoleta maendeleo. Hivi kila mtu akiwa na forum yake then nani atachangia ya mwenzake.
So far so goood kwa jamii forums, imekubalika, then what is this narrow mindedness?
crushing threads, banning members, why can't we face points with points?
Hebu tuacheni hii tabia ya kitoto ya nenda kusema kwa baba.
mkuu mods si vichaa wana akili timamu na ubora wa forum hii tunaouona ni kutokana na kazi zao nzuri (mapungufu hayawezi kukosekana).issue kama hii tunayoijadili inachangamoto nyingi za kisheria na utamaduni pia hivyo close supervision ya mods ni muhimu sana kwani haiwezekani mods wakawa kila mahali bila sisi kuwastua sometimes.
Binafsi nimemstua invisible mara mbili kwenye thread hii kama uchokonozi kujua atasema nini kwa uzoefu wake wa social media na mambo ya habari.
Naamini watu kulalamika kwa mods ni jambo jema kwani ndio utaratibu wa humu unavyotaka kuepusha mengi na mods hawakurupuki kutoa maamuzi bila kuzingatia haki na wajibu wao!