Wito kwa CHADEMA na Dr Slaa

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,185
307
Tunatahamu ya kusikia kutoka kwenye chama chetu pendwa yafuatayo:
  • Matokeo ambayo wao waliyapata kutoka kwa mawakala wao, sidhani kama sasa hii inaweza kuleta uvnjifu wa amani wowote,
  • Tunaomba mtusaidie kujua nini kinaendelea, tangu uchaguzi upite hatusikia kutoka kwa shujaa wetu Dr Slaa akitushukuru kwa moyo na ushirikiano tuliomwonyesha kwa kuunga mkono agenda yao ya mabadiriko
  • Tunaomba mharakishe mkakati wa maandalizi ya uchaguzi wa 2014 &2015, tuko tayari kuwaunga mkono kwa hali na mali, tunaomba muonyeshe mnajari kwa kutusaidia kutujurisha ofisi zenu kwenye kila mtaa, kata. Naamini mnaweza kuajiri vijana mkawalipa kutokana na michango yetu wakafanya kazi ya kutusaidia kutuunganisha. Mimi binafsi nataka kujua ofisi yenu ya kata ya KWEMBE/KIBAMBA ilipo, nataka chama kitusaidie wakazi wa Kibamba/Kwembe kudai haki yetu ya kupatiwa barabara na madaraja yanayopitika muda wote
Tuna haki na ni wajibu wenu kutupatia taarifa sahihi. Tuliwaunga mkono kwa hali na mali kwa hiyo tunaomba mtimize wajibu wenu.

Nadhani kimya hiki hakikisaidii Chama, na yale maneno kuwa vyama vya upinzani ni vya msimu yatapata nguvu kama mtaendelea kuwa kimya
Mtu wa PROPAGANDA wa CHAMA yuko wapi??
 
tunatahamu ya kusikia kutoka kwenye chama chetu pendwa yafuatayo:

  • matokeo ambayo wao waliyapata kutoka kwa mawakala wao, sidhani kama sasa hii inaweza kuleta uvnjifu wa amani wowote,
  • tunaomba mtusaidie kujua nini kinaendelea, tangu uchaguzi upite hatusikia kutoka kwa shujaa wetu dr slaa akitushukuru kwa moyo na ushirikiano tuliomwonyesha kwa kuunga mkono agenda yao ya mabadiriko
  • tunaomba mharakishe mkakati wa maandalizi ya uchaguzi wa 2014 &2015, tuko tayari kuwaunga mkono kwa hali na mali, tunaomba muonyeshe mnajari kwa kutusaidia kutujurisha ofisi zenu kwenye kila mtaa, kata. Naamini mnaweza kuajiri vijana mkawalipa kutokana na michango yetu wakafanya kazi ya kutusaidia kutuunganisha. Mimi binafsi nataka kujua ofisi yenu ya kata ya kwembe/kibamba ilipo, nataka chama kitusaidie wakazi wa kibamba/kwembe kudai haki yetu ya kupatiwa barabara na madaraja yanayopitika muda wote
tuna haki na ni wajibu wenu kutupatia taarifa sahihi. Tuliwaunga mkono kwa hali na mali kwa hiyo tunaomba mtimize wajibu wenu.

Nadhani kimya hiki hakikisaidii chama, na yale maneno kuwa vyama vya upinzani ni vya msimu yatapata nguvu kama mtaendelea kuwa kimya
mtu wa propaganda wa chama yuko wapi??
mikutano ya kushukuru ilitakiwa kuanza nchi nzima polis maweizuia kwa madai kuwa hali ya nchi n i tete na serikali bado haijaundwa. baada ya leo baraza kutangzwa labda wataachai kidogo mikutano iweze kufanyika. Wanajua kuw aissue kubwa itakuwa ni kudai katina mpaya na tume huru ya uchaguzi ni maana wanaban.
 
mikutano ya kushukuru ilitakiwa kuanza nchi nzima polis maweizuia kwa madai kuwa hali ya nchi n i tete na serikali bado haijaundwa. baada ya leo baraza kutangzwa labda wataachai kidogo mikutano iweze kufanyika. Wanajua kuw aissue kubwa itakuwa ni kudai katina mpaya na tume huru ya uchaguzi ni maana wanaban.

Taarifa kwa umma ingefaa zaidi kuliko kukaa kimya kama walivyofanya. Huko Kijijini kuna watu walikatwa mapanga na wengine nyumba zao kuchomwa moto wakitetea kura za Dr Slaa lakini mpaka sasa hawajamsikia akijitokeza hadharani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom