Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

Mkuu Mokaze, Watanzania ni wazuri sana kwa kulalamika na kupiga kelele, but when it comes kwenye kuchukua hatua, they do nothing.

Hili la nepotism, nilishauri the right thing to do, no one did anything!. Hatuishi kwa tuhuma za hisia za ukabila, ukiuliza where is any solid evidence?, no one comes forward with it!.
P

Mkuu P, Mayalla, hili jambo lako la Nepotism ilipaswa ulipeleke wewe mwenyewe Bungeni au umpe Mbunge mmoja makini alipekeke Bungeni kama hoja binafsi, kuliweka humu jf ni sawa na kuweka mambo hadharani kwa kila mtu . Santakalawe,--- wahusika wanayohiyari kulichukua au kutolichukua na mara nyingi the latter is adopted.
 
Wanabodi,
!Lakini kama ni kweli mtu amemchukua mtu wa kabila lako, hana sifa wala hajakidhi vigezo, kisa tuu ni mtoto wa dada yake kwa kumtoa huko alikomtoa na kumkabidhi madaraka makubwa kama hazina ya nchi yetu!. Kama hili ni kweli, then this is too much!, hii itakuwa ni nepotism ya ajabu kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania. Naliomba Bunge letu Tukuf, lisikubali kabisa minon'gono hii kuendelea kuwepo au kitu kama hiki kutendeka katika ardhi ya nchi nchi yetu!. Hili likifanyika, laana ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere itatushukia, itatutafuna, tusipuuze ila pia tusikubali!.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja. Inaongozwa kwa mujibu wa Katiba kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni, tuitimie katiba yetu, sheria zetu, taratibu zetu na kanuni zetu kuitawala nchi yetu.

Nawatakia Furahi Dei Njema.
Wasalaam.

Paskali.
Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana la kujadili matokeo, badala ya chanzo!. Jana kwenye ripoti ya CAG, imetajwa ATCL kupata hasara ya Bilioni 60, imeleta kelele kubwa!, na leo ndio hiyo ya kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa TPA na ATC kupata hasara, ndio itakuwa habari kubwa ya magazeti, lakini sijui kama kuna media yoyote itatafuta chanzo, kilichosababisha. Tunapojadili matokeo tuu bila chanzo ni sawa na mtu aliye jukwaa na akaanguka, kwa kuangalia alipoangukia, kuinuka akajikung'uta vumbi na kuendelea na safari yake bila ya kuangalia tulipojikwaa.

Kwenye hili la hasara ya ATCL, kuna mahali tulijikwaa, sasa tumeanza kuanguka. Tusipoangalia tulijikwaa wapi, tutajikwaa tena pale pale na tutaanguka!.
P
 
Wanabodi,
JF ilipoanzishwa was meant to be the home of Great Thinkers.
Hivyo katika mabandiko ya ma GT, they discuss the ideas hawajadili watu, hili ni bandiko kuhusu ideas, hivyo naomba sana kusisitiza hapa hatujadili watu na wala tusitajetaje majina yoyote ya watu. Hakuna jina la mtu yoyote lililotajwa kwenye bandiko hili hivyo naomba wachangiaji msitaje jina la mtu yoyote!.

Boeing Zetu ni Ndege Mpya!.
Kitendo cha Tanzania kununua ndege mpya ya Boeing Dreamliner kumeendelea kuibua mambo. Kuna mambo yanasemwa semwa, inawezekana kabisa lisemwalo lipo kama halipo linakuja, pia inawezekana Watanzania ni wazushi tuu, waongo, watu wa majungu na fitna, hivyo vyote vinavyosemwa kuhusu ndege hizi ni uongo tuu na uzushi, ukweli wenyewe halisi ndege hii ni mpya kabisa kutoka kiwandani na ndio maana zimelipiwa cash Kwa bei ya mpya kabisa!.

Baadhi ya Yanayosemwa!.
1. Tanzania ni nchi masikini, hata nchi matajiri zenyewe zenye mihela, hazinunui ndege kwa cash kwa sababu za msingi sana, sasa iweje nchi masikini kama Tanzania ikanunua ndege kwa cash?!.
2. Tumeambiwa ndege tulionunua ni mpya, waongo wanaibuka na kuzusha eti tumeuziwa ndege mitumba ya kiwandani iitwayo TT (Terrible Teen) iliyododa kiwandani kutokana na hitilafu kwenye engine zake, hivyo sasa kuuzwa kwa nusu ya bei, lakini sisi tumeuziwa kwa bei ya mpya!. Hivyo tumepigwa changa la macho na kuna watu wamepiga dili!. Inadaiwa kinachofanyika sasa ni kutupatia tuu engine mpya, na kutufanyia finishing yetu lakini ziliishaundwa zamani na zikadodea kiwandani!.

3. Kwa vile haya ni manunuzi makubwa, Tanzania tunazo taratibu zetu za manunuzi ambazo zilifuatwa na tukafikia maamuzi. Kwa vile jambo kama hili lilitokea kwa Richmond, na kupitia Bunge letu tukufu tulirekebisha mambo, hili suala la ndege sasa linageuka kelele, hivyo tunaliomba Bunge lisikae kimya liingilie kabla!.
4. Kama hata nchi tajiri wenye cash, hawanunui ndege kwa cash kwa ajili ya security issues na guarantee. Masikini sisi Tanzania, tuna haraka gani ya kiasi hicho cha kutake such a big risk?!.
5. Tuelezwe kwa ukweli na uwazi the consequences of the risk tuliochukua ili huko mbeleni yakitokea ya kutokea, tusianze tena kulaumiana na kunyoosheana vidole, tukubaliane kuwa we knew what we were doing and be ready to live with the consequences of our actions.

Tuhuma za Nepotism ya Ajabu.
Kati ya dhambi kubwa na mbaya kabisa kwa taifa lolote duniani ni dhambi ya ubaguzi wa aina yoyote, uwe ukabila udini, jinsia, rangi, hali, ulemavu etc, ubaguzi ni ubaguzi tuu ni unyama!.

Tanzania ya sasa kumeanza kuwepo minong'ono ya chini chini ya ubaguzi wa udini na ukabila wa chini kwa chini! kwa kabila fulani kunyanyaswa huku kabila fulani kupendelewa!. Tuhuma hizi kama hazina uthibitisho, ni tuhuma za kuzipuuzia kabisa kwa nguvu zote, lakini kama zina uthibitisho, sio tuhuma za kuzipuuzia hata kidogo!.

Ikitokea mtu ni mzuri kabisa, mwenye sifa zote, vigezo vyote na uwezo wote wa kushika nafasi fulani, huwezi kuacha kumteua kwa nafasi hiyo eti tuu kwa sababu ni kabila moja au ni dini fulani. Kama sifa za uteuzi ni sifa na vigezo tuu, na sio kabila la mtu, hivyo kwenye uteuzi, tutatea tuu kwa kwa kuangalia sifa na vigezo, na hatuangalii kabila la mtu wala dini ya mtu!. Hata wakitokea wateuliwa wote ni kabila moja na dini moja, let it be!.

Lakini kama ni kweli mtu amemchukua mtu wa kabila lako, hana sifa wala hajakidhi vigezo, kisa tuu ni mtoto wa dada yake kwa kumtoa huko alikomtoa na kumkabidhi madaraka makubwa kama hazina ya nchi yetu!. Kama hili ni kweli, then this is too much!, hii itakuwa ni nepotism ya ajabu kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania. Naliomba Bunge letu Tukuf, lisikubali kabisa minon'gono hii kuendelea kuwepo au kitu kama hiki kutendeka katika ardhi ya nchi nchi yetu!. Hili likifanyika, laana ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere itatushukia, itatutafuna, tusipuuze ila pia tusikubali!.

Hivyo kama tuhuma hii ya nepotism ya ajabu ni kweli, kisha ikathibitishwa ni kweli zile ndege ni TT, na kuthibitishwa utaratibu wa manunuzi haukufuatwa, na ikathibitishwa ni kweli utaratibu ulisimamiwa ni mtu na mjomba mtu, au mtu na mpwawe!, wakaangalia kwenye chungu au kwenye mtungu wakakuta chakula, wakajipakulia tuu au maji wakajichotea tuu, then for sure mtu huyu hatufai kabisa kwa sababu matumizi ya fedha za umma toka mfuko mkuu wa hazina, yana taratibu zake, ikiwemo kuidhinishwa na Bunge ndipo zitumike, kama ni kweli uamuzi huu ni uamuzi wa mtu mmoja, kujiamulia kutumia hazina ya taifa, bila kufuata sheria, taratibu na kanuni ya matumizi ya fedha za umma, then, this is not right.

Wito kwa Bunge Letu Tukufu
Ni kazi ya Bunge kuisimamia serikali kupitia "the doctrine of separation of powers and checks and balance", na ikitokea Mkuu wa The Executive ametenda ndivyo sivyo, Bunge ndicho chombo pekee chenye mamlaka ya kumuwajibisha!. Hivyo natoa wito kwa Bunge letu tukufu, kupitia kwa waheshimiwa Wabunge wetu makini ambao ni wawakilishi wetu, kutanguliza mbele maslahi ya taifa, lisizizingatie tuhuma zisizo na uthibitisho, ila pia zipuuzie tuhuma hizi kama zinauthibitisho hata kama ni mdogo tuu kuwa ni kweli fulani ni mtoto wa dada mtu na hana uwezo huo!. This is very serious thing!,

Bunge lifanye uchunguzi kuhusu ukweli wa tuhuma hizi, zikithibitishwa, ni uzushi, wazushi hawa wachukuliwe hatua kali kabisa za kisheria ili kutoa funzo, lakini zikithibitika zina ukweli, then Bunge letu lifanye "the needful" kwa kuianza ile the due process.

Labda kitu ambacho mimi sikijui kisheria, ni kuwa ili ile due process kufanyika, hufanywa na Jaji Mkuu, hivyo sijui kama hali hii ya muhimili mmoja kuwa na Kaimu Jaji Mkuu anaweza kutumika kwenye process hiyo!.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja. Inaongozwa kwa mujibu wa Katiba kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni, tuitimie katiba yetu, sheria zetu, taratibu zetu na kanuni zetu kuitawala nchi yetu.

Nawatakia Furahi Dei Njema.
Wasalaam.

Paskali.
Hapa ulikuwa mtu
 
Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana la kujadili matokeo, badala ya chanzo!. Jana kwenye ripoti ya CAG, imetajwa ATCL kupata hasara ya Bilioni 60, imeleta kelele kubwa!, na leo ndio hiyo ya kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa TPA na ATC kupata hasara, ndio itakuwa habari kubwa ya magazeti, lakini sijui kama kuna media yoyote itatafuta chanzo, kilichosababisha. Tunapojadili matokeo tuu bila chanzo ni sawa na mtu aliye jukwaa na akaanguka, kwa kuangalia alipoangukia, kuinuka akajikung'uta vumbi na kuendelea na safari yake bila ya kuangalia tulipojikwaa.

Kwenye hili la hasara ya ATCL, kuna mahali tulijikwaa, sasa tumeanza kuanguka. Tusipoangalia tulijikwaa wapi, tutajikwaa tena pale pale na tutaanguka!.
P
Sijui kwanini mtu kama wewe ambaye ni faida kwa jamii uliamua kuvua utu wako.
Hebu tafakari ulipo taifa la wa Tanzania linakuhitaji kwa michango na makala zilizo Shiba.
Asante
 
Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana la kujadili matokeo, badala ya chanzo!. Jana kwenye ripoti ya CAG, imetajwa ATCL kupata hasara ya Bilioni 60, imeleta kelele kubwa!, na leo ndio hiyo ya kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa TPA na ATC kupata hasara, ndio itakuwa habari kubwa ya magazeti, lakini sijui kama kuna media yoyote itatafuta chanzo, kilichosababisha. Tunapojadili matokeo tuu bila chanzo ni sawa na mtu aliye jukwaa na akaanguka, kwa kuangalia alipoangukia, kuinuka akajikung'uta vumbi na kuendelea na safari yake bila ya kuangalia tulipojikwaa.

Kwenye hili la hasara ya ATCL, kuna mahali tulijikwaa, sasa tumeanza kuanguka. Tusipoangalia tulijikwaa wapi, tutajikwaa tena pale pale na tutaanguka!.
P
Paskali tumeambiwa na msukuma mwenzio kuwa ATC imetengeneza faida na ana mpango wa kununua ndege tano nyingine ikiwamo ya mizigo, Sasa tumwamini nani? Leo tunaambiwa ilikuwa inatengeneza hasara miaka yote mitano...Hakuna faida! Tuangalie chanzo gani tena? Tuna haja gani ya kutafuta chanzo wakati tumeambiwa Shirika linatengeneza faida? Tunaoelewa business management tulijua tunadanganywa tu....Kwa sababu hakukuwa na business plan, tunaona ndege zimepaki kila siku zinafutwa vumbi airports, zinapangiwa safari kwa maelekezo ya Ikulu....mara zipeleke mbuzi na nyama Dubai, mara zitumwe India baada ya wiki safari kwisha....Jamani Business plan gani hizo? Magufuli ameua Fast jet na akataka kuimaliza Precision Air kwa makusudi ili ATC itambe wakati ipo ghali na huduma za ovyo.
Tumedanganywa na Magufuli kuwa ni msafi, ngoje tuone hayo madudu yake aliyoyaficha? achilia mbali aliyoyafanya Chato....ambayo ni uvunjifu mkubwa wa taratibu za fedha.
 
Wanabodi,

Tuhuma za Nepotism ya Ajabu.
Kati ya dhambi kubwa na mbaya kabisa kwa taifa lolote duniani ni dhambi ya ubaguzi wa aina yoyote, uwe ukabila udini, jinsia, rangi, hali, ulemavu etc, ubaguzi ni ubaguzi tuu ni unyama!.

Tanzania ya sasa kumeanza kuwepo minong'ono ya chini chini ya ubaguzi wa udini na ukabila wa chini kwa chini! kwa kabila fulani kunyanyaswa huku kabila fulani kupendelewa!. Tuhuma hizi kama hazina uthibitisho, ni tuhuma za kuzipuuzia kabisa kwa nguvu zote, lakini kama zina uthibitisho, sio tuhuma za kuzipuuzia hata kidogo!.

Tanzania ni nchi yetu sote na sio nchi ya mtu mmoja. Inaongozwa kwa mujibu wa Katiba kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni, tuitimie katiba yetu, sheria zetu, taratibu zetu na kanuni zetu kuitawala nchi yetu.

Nawatakia Furahi Dei Njema.
Wasalaam.

Paskali.
Sukumagang ni ITIKADI iliyoasisiwa na JPM kwa manufaa ya wasukuma ukiwemo wewe Paskali Njalah Mayala, na kwa faida yako Sukumagang

Wasukuma kama hilo ni tatizo fanyeni kazi ya kulifuta maana hata wewe hujawahi kulishutumu huko nyuma!
Mkuu MTK , angalia tuu tarehe ya bandiko ujue watu huu udini, ukanda na ukabila, watu tumeanza kuukemea lini.
P
 
Back
Top Bottom