Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Chikawe alikuwa Waziri wa Mambo ya ndani wakati wa mchakato wa uchaguzi na TISS haipo chini ya Home affairs.… nawe ushtakiwe kwa kusema uongo
Vyovyote vile yeye ndiye aliteficha faili. Baada ya uchaguzi akapewa zawadi ya kuwa Balozi
 
Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia

Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"

Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .

Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !

Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .

Nakala : Peter Kibatala

Magufuli alikuwa Rais bora sana kuwahi kutokea ktk miaka ya hivi karibuni

Wapuuzi kama nyinyi ni ngumu kuelewa Taifa hili linahitaji kiuongozi wa namna gani
 
Ili kuweza kuwa chuki ya namna hii dhidi ya mtu ambaye taifa lilionyesha ni namna gani lilimpenda kwa kujitokeaza kwa mamilioni kila mwili wake ulipopitishwa lazima uwe na kautindio flani ka ubongo hata kama ndugu zako wa karibu hawakuambii unacho.
 
Mimi nawalaumu sana CHADEMA kwa kumuomba Mungu tuwe na rais Dikteta hivyo tukapewa dikteta na nusu. Halafu 2015 tulishikwa pabaya mno hakukuwa na jinsi.... tusingemchagua Magu tungeangukia mikononi mwa Lowassa aliyetajwa kwenye top ten ya mafisadi papa na haohao CHADEMA. Tushukuru tu kilichotokea tarehe 17 March 2021.
 
Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia

Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"

Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .

Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !

Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .

Nakala : Peter Kibatala
Sawa kabisa. Ilikuwa ajabu sana jinsi Magufuli alivyopitishwa kugombea manake hata akina Jakaya na Kinana walijuta sana baadaye. Kweli hatukupaswa kuwa na “kiongozi “ kama huyu.
 
Ili kuweza kuwa chuki ya namna hii dhidi ya mtu ambaye taifa lilionyesha ni namna gani lilimpenda kwa kujitokeaza kwa mamilioni kila mwili wake ulipopitishwa lazima uwe na kautindio flani ka ubongo hata kama ndugu zako wa karibu hawakuambii unacho.
Hata alipokufa dikteta Starling mamilioni walijitokeza, si hoja. Magufuli alilazimisha watu kumkubali leo hii huko Marekani hata aliyekuwa makamu wake anakiri ilimbidi awe mnafiq kuweza kufanya kazi na Magufuli. Yatafunguka mengi ni suala la muda tu.
 
Ili kuweza kuwa chuki ya namna hii dhidi ya mtu ambaye taifa lilionyesha ni namna gani lilimpenda kwa kujitokeaza kwa mamilioni kila mwili wake ulipopitishwa lazima uwe na kautindio flani ka ubongo hata kama ndugu zako wa karibu hawakuambii unacho.
Huku wengine wakizimia lakini wameng'ang'ania mifuko ya Sato mkononi

Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Kesi kwa kamati kuu ya chama iwe.
1.KUMPITISHA MGOMBEA URAIS 2015 HUKU WAKIJUA MGONJWA.
2.KUMRUHUSU KUFANYA PUSHUP ZA ALIZEREEEEEMA MAJUKWANI.
3.KUMRUHUSU KULA MAHINDI YAKUCHOMA KIPINDI CHA KAMPENI HUKU ANAONGEA.
 
Machadema hata waume zenu wakishindwa kuwabutua mnasingizia Magufuli
 
Magufuli alisimamishwa kurudisha imani ya Lumumba na viunga vyake kwa wananchi. Kipindi kile bila yeye sijui Lumumba wangekuwa wapi.
 
Back
Top Bottom