Wito JF, dont add an insult to an injury, JF itafungwa!, karma ipo, kwa kuteseka kwake, JF itaponywa

Wanaweza kuifunga jamiiforums wanayejua wamiliki wake, lakini ikaibuka Jamaaforums ambayo mmiliki wake ni anonymous asiyejulikana, na ikawa more powerful, more secure, more daring kuliko hata hii JF, mtandao utakao kuwa hosted nje ya nchi, lakini hiyo ni last option. Huwezi kuwanyamazisha watu kwa dunia ya leo!. Ukikomaa sana kubana uhuru wa habari mitandaoni wakumbuke kuwa duniani wapo mabwana wakubwa zaidi wanaomiliki Internet, wanaweza kuamua kuiblock hata hiyo intaneti isipatikane kabisa!

Believe me, tukiamua (waasisi) kuifunga tunaweza na kuifungua vile vile. Wao hawawezi kuifunga.
 
mimi mwanzoni mwa utawala wa Magufuri ndio nilikua na hasira, chuki na ghadhabu nae, ila sasa nimemuelewa hata sina hasira nae tena na simshangai tena.

Akili yangu nilishaiandaa isishangae yatakayotokea katika utawala huu na hata yatakayonitokea mimi binafsi, tulifanya maamuzi sisi au ndugu zetu mwaka jana hivyo lazima tukubali uhalisia unaotokana na hayo maamuzi bila kujali yalifanywa na wewe au watu wengine.

Mimi kipindi kile cha miezi mitatu baada ya kupiga kura niliishi kwa taabu Sana nikiangalia kinachotokea halafu viongozi wamekaa kimya nilitamani kupasuka
 
Watesi wetu Hao wanashinda MMU, Jukwaa LA Kikubwa, Mapishi, Chitchat. Leo hii wanataka kuifunga JF? I am sure and convinced kuwa asilimia kubwa ya Hao "wasioitaka" JF ni Wadau wakubwa wa JF. Unafiki tu
 
Sasa nashindwa hata kusema "Mungu ibariki Tanzania"!
Nafsi haitaki kabisa,sijawahi kuwa na hasira kiasi hiki!
Not only you guys! I'm angry than before! Nilikuwa na mkulu pamoja daima. Lkni, kwa hili nimebadili mawazo yangu. Lzm uhuru wa wananchi uheshimiwe kama hajavunja katiba. Kingine, kwa nini tuwekeze kwenye ndege kiasi hicho wkt watanzania wengi bado huduma za maji bado kabisa?
 
Lakini hii kitu inauma sana, [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]

Mnamtia ndani mtu bila kosa na wale walio kwapua mabilion ya hela wakiendelea kupewa vyeo vya juu na ulinzi juu

Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba umpe nguvu ya uvumilivu ndugu yetu [HASHTAG]#MaxenceMelo[/HASHTAG]!

Watoto wake wanaulizia mama dady yupo wapi, anakuja saa ngapi, mama dady anatuletea zawadi gani inaumiza sana
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kuchukua fursa hii kuungana na Wana JF wenzangu kupeana pole kwa kilichomkuta Mkuu Max.

Alipokamatwa nilikwenda kumuona pale central na kuzungumza nae kwa kina.
Kwa sasa niko ziarani kutembelea Central Corridor, next week nitarejea na kuunganisha nguvu.

Huu ni wito wangu kwa wana JF, pamoja na uchungu wote, pamoja na hasira zote, no matter how bad our situation is, please let us not to loose our temper, if we loose our temper, we can make it worse hadi kuihatarisha JF kufungwa.

What is happening to Max, it's an injury, please let's not add an insult to an injury, tutamponza zaidi Max na you never know...

Kila mwenye akili ameisha jua kinachoendelea, tupunguze jazba, tuwe watulivu tuiache karma itake it's cause ndio sheria pekee ya haki bin haki, hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuizuia karma, let's keep calm sit and watch as karma takes care of the situation.

Maxi Pole Sana kwa mateso haya, ni kwa kuteswa kwako, sisi tutaponywa na JF itaendelea kusimama juu zaidi, bigger and stronger.

God Bless You,
God Bless JF,
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Kaka,
No way, huo uliopendekeza wewe utakua ni uoga wa highest level.
Kwa tulioyaongea kama wanataka kufanya hayo basi wayafanye tu, otherwise turudi nyuma tufute (delete) yote tuliyaandika humu.
 
Wafanye sarakasi zao zote, lkn watuachie JamiiForums yetu. Nimejifunza mambo mengi sana kupitia JF, wakijaribu kuifunga wajue watakuwa wameongeza watu wenye hasira kali dhidi yao.
Kweli. Hii nchi wasomi walisha kuwa wengi. Ukifanya kitu wengi walisha gundua unakoelekea..!!
 
Sasa wanadhani kumyima haki yake ya kikatiba na kumsweka ndani tuchekelee mimi pasco huwa ananiudhi sana na unafiki wake uwe nabusara vipi wakati za wananchi zinasigwana na kuhatarisha maisha yao Lema hapewi dhamana kwa mahakama zetu Ben hajulikani hayuko Max ananyimwa dhamana wakati hajahukumiwa unasema tunyamaze how I hate this government
 
MI naona kuna majukwaa targeted,kama La Siasa,intelligence
La mapenzi na mapishi kule kwani wana shida na mtu?tuelekezee basi comments zetu kule ktk kukwepa Upepo huu
Wengine hobby zetu siasa kumbe tujadili nini?
Lakini elewa wanachokitaka ni kupata access ya kuweza kumpata yeyote wanayemtaka hapa ndani.huoni ni khatari hiyo?
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kuchukua fursa hii kuungana na Wana JF wenzangu kupeana pole kwa kilichomkuta Mkuu Max.

Alipokamatwa nilikwenda kumuona pale central na kuzungumza nae kwa kina.
Kwa sasa niko ziarani kutembelea Central Corridor, next week nitarejea na kuunganisha nguvu.

Huu ni wito wangu kwa wana JF, pamoja na uchungu wote, pamoja na hasira zote, no matter how bad our situation is, please let us not to loose our temper, if we loose our temper, we can make it worse hadi kuihatarisha JF kufungwa.

What is happening to Max, it's an injury, please let's not add an insult to an injury, tutamponza zaidi Max na you never know...

Kila mwenye akili ameisha jua kinachoendelea, tupunguze jazba, tuwe watulivu tuiache karma itake it's cause ndio sheria pekee ya haki bin haki, hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuizuia karma, let's keep calm sit and watch as karma takes care of the situation.

Maxi Pole Sana kwa mateso haya, ni kwa kuteswa kwako, sisi tutaponywa na JF itaendelea kusimama juu zaidi, bigger and stronger.

God Bless You,
God Bless JF,
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Noted, apewe basi dhamana.
 
Back
Top Bottom