CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania

Mpaka hapo ulipoishia hata wale wanaosoma makala fupi watakuelewa, ngoja tusubiri utakachoendeleza.
Katika siasa za 'check & balance' wadau wanafuatilia 'kifo' cha upinzani maana sasa imefika 2020 tayari.
Wewe jamaa ni mnafiq sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbaaaaaaaaa kutoka kwa mfuga Bata.... Pelekea Bata wale

Sent using Jamii Forums mobile app

Someni vizuri acheni uvivu. Hii post ni Kama Moto unaowaka kwenye maji.
 
jd41,
Miaka kadhaa nyuma Kuna jamaa yangu alikuwa na kesi ya mauaji. Kiuhalisia HAKUUA lakini ushahidi wote ulikuwa unapoint kwake kuwa yeye ndiye muuaji. Ilibidi mwanasheria wake apambane kweli kweli kuitoa kesi kwenye murder hadi manslaughter

Jamaa alishukuru sana
 
Mi nimemuelewa sana Mayala, hiyo ndo style yake, huyo ndo Mayala OG.
Nimesoma kwa utulivu sana nikiwa very normal cna hofu kabsa thats y nimemuelew vzur sana.

Cna cha kuongeza hapo kama itahitajika nitachangia vizuri sana ili tuelewane

Munakumbuka kauli ya Dr Bashiru kuhusu CCM mutumia dola kubaki madarakani, c mumeshamuelewa vema na c mumeshaona IMPACT yake kweny siasa zetu?

Kuna wakati tunapaswa kuwa watulivu na washauri kwa viongoz wetu, kuna wakati wanachoka jamn.
Kila cku mahakaman,
mambo ya kufanya kibaooo,
bungeni spika kachachamaa na ushamba wake,
wakuu wa mikoa na wilaya,
huku wanaharakati huru,
pale biashara ya polepole (causin wa msigwa) inapamba moto,
huko wale wameitwa ikulu,
mara mtu wao kapotea, he!!!
Huyu katakatisha fedhaa
jaman jaman tusiwaache peke yao watachoka. Hebu tujaribu kuwaunga mkono hasa kipindi hich cha uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali kaka yangu, una ujasiri wa kusema yale ambayo ni magumu kuyasema na nadhani umesomeka kweli kweli.

Mwenye masikio na afahamu neno Paskali anatumbia Watanzania.

Either ili kuweka kumbukumbu sawa, habari toka vyanzo vingine inaonekana familia ya Dr. Magufuli ndiyo imeozesha binti kwa wanyalukolo (akina Msigwa) mwana wa kiume toka tumboni mwa dada Msigwa kijana "amepata jiko" kwa Dr. Magufuli. Sio uchumba ni ndoa kabisa. Hivyo hapa ni udugu ambao unavuka itikadi ya vyama.

Wasalaam



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kesi imekuwa dabo standard ingekuwa halali kama wote walioshiriki mchakato wa maandamano nao wangehukumiwa,Lkn imewahukumu wa chadema pekee Na kuwaacha wa ccm yaani polisi waliouwa,mkuregenzi Na mbunge Mtulia hata kama wamekingiwa kifua still hatia ya uuaji haiwakwepi
 
Haifai kumshukuru DPP wala Magufuli. Hawa wote wanashiriki ku-criminalise siasa za upinzani. Hii ni hatari na inasababisha hasara kubwa kwa taifa letu. Kwa vipi?

Kutokana dhuluma hizo dhidi ya upinzani, kuna idadi kubwa sana ya raia wema, wenye uwezo mkubwa, ambao wangetoa mchango mkubwa kwa taifa letu kupitia vyama hivi.

Matokeo yake ni wale wenye ujasiri wa pekee tu ndio wanabaki upinzani. Hii inachangia ile tuhuma kwamba vyama vya upinzani ni vya kiharakati zaidi.

Lakini pia, wengi wenye heshima zao ambao wanakerwa na ubabe huu na upendeleo wa wazi kwa CCM, hawajiungi CCM na kulinyima taifa mchango wao. Ushahidi wa hili angalia wingi wa wana CCM waliochangia CHADEMA kwenye hii kesi ya AKWILINA.
 
Naungana na makala yako hii bwana Pascal Mayalla ni vigumu sana kuwafanya watu wakubaliane na wewe lakini katika ulimwengu wa roho ambao hauhesabu mabaya bali kwa kushukuru kwa kila jambo utakuwa umeeleweka na kitu cha kuongezea kidogo ni kwamba lazima upinzani utambue kuwa uko kwenye vita juu ya mamlaka na wakuu wa kidunia hivyo wanapomtanguliza mwenyezi ni lazima pia watambue kuwa Mungu anatutaka kuwa watu wenye shukurani kwa kila tunapopita maana huwa anamaana yake sana kwa nini tupitie mambo ya kukatisha tamaa ili baadae tuweze kuishinda vita
 
Huyujamaa ni mnafiki anaye pigania tumbo lake tuu alimchongea kabendera lakino jamaa amemsamehe bure kabisa . mm nakushauri unaweza fanya kazi yoyote ukiona kwamba kalamu yako haiwezi kuandika ukweli ni bora ukweli kidovo kuliko uongo kilo mbili. Mwisho wa siku hata kama utapewa usemaji wa serikali haitokufaa kitu tusubiri muga ni kiongozi wauda wote .

Na kwanini uzeeke vibaya kiasi hicho mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote Chadema imekuwa ikiamimi adui yao mkubwa anayewakosesha kuingia ikulu ni CCM kwa kusaidiwa na vyombo vyake vya dola kuanzia serikali, NEC, polisi, na nguvu za dola, mimi siku zote nawawaambia adui yao mkubwa anayewakosesha kuingia ikulu, sio wale wapiga kura milioni 6 wa CCM na zile kura milioni 2 za NEC, adui mkubwa wa Chadema ni wale wapiga kura milioni 20 ambao hawajajiandikisha, na wale milioni 12 waliojiandikisha lakini hawakujitokeza kupiga kura. Hivyo sasa Chadema should invest in people, mass mobilization na sio kila siku kutwa kucha kulalamika tuu inaonewa na CCM.
Umeandika Mambo muhimu Sana hapa !! 👊👊👊
 
Siku zote Chadema imekuwa ikiamimi adui yao mkubwa anayewakosesha kuingia ikulu ni CCM kwa kusaidiwa na vyombo vyake vya dola kuanzia serikali, NEC, polisi, na nguvu za dola, mimi siku zote nawawaambia adui yao mkubwa anayewakosesha kuingia ikulu, sio wale wapiga kura milioni 6 wa CCM na zile kura milioni 2 za NEC, adui mkubwa wa Chadema ni wale wapiga kura milioni 20 ambao hawajajiandikisha, na wale milioni 12 waliojiandikisha lakini hawakujitokeza kupiga kura. Hivyo sasa Chadema should invest in people, mass mobilization na sio kila siku kutwa kucha kulalamika tuu inaonewa na CCM.
Umeandika Mambo muhimu Sana hapa !! 👊👊👊
 
Back
Top Bottom