WITO:Baba V ajiuzulu,kazi imemshinda.

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Habari za jioni wana Chit-Chat!
Nimefuatilia kwa makini suala la Chimbuvu na Madame B na kugundua ubabaishaji mkubwa wa mwenyekiti wa kamati ya mahusiano CC.
Kwanza,mwenyekiti alitangaza kuvunjwa kwa ndoa kati ya watajwa hapo juu mara mbili,agizo ambalo halikutimizwa.
Hii inadhihirisha mwenyekiti Baba V ni mbwa asiye na meno;yaani mbwa koko.
!
-Mbaya zaidi,likaja suala la Baba V kumtaka kimapenzi Madame B,jambo ambalo mtuhumiwa hajalitolea maelezo ya kueleweka mpaka sasa.
-Na hili la kuvunja ndoa ya loya na Madame B,ilhali hakuna malalamiko yoyote loya aloyaleta humu inadhihirisha ubabaishaji wa baba V.
Napendekeza maandamano makubwa ya kumng'oa Baba V yafanyike.
 
Last edited by a moderator:
Yeye mwenyewe amwkalia kufurahia kuvunjika kwa ndoa za watu. Hata mahakimu hawafurahii wahalifu. Naunga mkono anguko lake
 
Naunga mkono hoja manake ananishawishi kila siku niachane na mume wangu mpenzi nitonye! Ajiuzulu, ajiuzulu, ajiuzulu!
 
Last edited by a moderator:
Nikukumbushe tu bwana eliah g. Kamwela kusoma threads zote nilizozipost kuhusu wahusika kisha uje urekebishe katika maeneo utakayogundua kuwa umeandika sivyo, otherwise kila mwana chit chat ana haki ya kutoa maoni yake na majaji ni wana chit chat kwani hii ni kwa manufaa ya chit chat na sio manufaa yangu, Always Baba V
 
Last edited by a moderator:
Chit chat ndo watakuwa waamuzi, kumbukeni tu kuweka ushahidi na kumbukumbu sahihi badala ya invented words.

We najua unalilia uenyekiti tu,lakini posts zako kuhusu suala hili ziko wazi na umeonesha udhaifu mkubwa!!
Ondoka baba!!
 
Yaani utetezi wako ni dhaifu Baba V!

Sijafanya utetezi na sina haja ya kufanya hivyo,kazi niliyoifanya kwa kushirikiana na kamati zangu inaonekana kwa uwazi na kila mwana chit chat. Nilichofanya ni kuwakumbusha kuweka ushahidi tu
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja manake ananishawishi kila siku niachane na mume wangu mpenzi nitonye! Ajiuzulu, ajiuzulu, ajiuzulu!

Kama unao uthibitisho unao wa madai yako uweke mezani !
Hapa porojo hazina nafasi !
Ofcoz hata kama Baba V alifanya hivyo binafsi yangu sitoona kioja!
Sababu Shem wangu nae mmh! Ni walewale! Au yaleyale ! "makufuli ya kichina"
Juzi hapa mwenyewe umetuthibitishia ulimbonji na Mr. Rocky ! Huku mkidai kutuambia nitonye yuko machimboni ! So far hana chake!
Hence yawezekana Baba V aliona ni style ya bodaboda! Mtu ashuka- mtu apanda .
 
Ntake radhi tafadhali! Umetumwa au ?
 
anachokifanya sweetlady ni kujihami baada ya aliyoyafanya na @mr rock hadi Dena Amsi kanywa valuu asubuhi kwa hasira. Thread haiko mbali, nitaileta hapa ili aseme hata aliyoyaandika ni mimi niliandika,imeibuka tabia ya wanachit chat kupakaza mbovu kwa mwenyekiti pale tu atakapoonyesha msimamo mkali wanapoonesha kutoheshimu mahusiano yao. Ndicho anachofanya sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh!!
sweetlady,hatuwezi kuendelea kuwa na mwenyekiti mkware kama huyu.

Hapa issue ya ukware haina mashiko!
Tangu lini ulisikia kiongozi apendwa na kaumu yote?
Kivyovyote vile patakua na suppoters na against ! That's reality normal life! Haiyumkini eti raia flani wamekataa kuhesabiwa sensa kiongozi aachie madaraka ! It's stupidity leadin!
Afu huu ni uongozi mfumo wake uko kijamii zaidi na si kiroho!
Hapa sio vaticano kwamba kiongozi hatakiwi kupiga trees!
Alowaambia Baba V ni Papa wa hapa nani ?
Au alowambia Baba V ni mfano wa Kamuzu Banda ama Elton John nani ?
Uenyekiti wake hauna kanuni ya kutowavua vyupi warembo humu!
Mf. Hai ni kama hivi sasa mrembo snowhite anavyojilengesha kwa Baba V ! Binti keshamtepetea hadi kucha!
Na nnachofanya ni kumkazia hukumu Baba V hadi acheke na nyavu kwa snowhite!
Alaaaa!
Baba V piga trees mwanajeshi wangu .
 
Last edited by a moderator:
Sijafanya utetezi na sina haja ya kufanya hivyo,kazi niliyoifanya kwa kushirikiana na kamati zangu inaonekana kwa uwazi na kila mwana chit chat. Nilichofanya ni kuwakumbusha kuweka ushahidi tu

Mwenyekiti ulishaazengeaga nyumba yangu.
 
Back
Top Bottom