Without Remorse: Hii movie ni hatari iliyojaa balaa zito

Em punguza maneno ulitaka muvi iweje?

Baada ya kueleza hayo naomba majina ya muvi kali za kuanzia mwaka huu ila zisiwe
Horror
Science Fi..

Nataka
Thriller
Action basi.

NB nineshaangalia
Wrath of a man
Thise who wish me dead
Ten minutes gone
Without romorse
Virtuoso
No body
The Woman in the Window (Thriller: 2021)
 
Wewe ulitumia kifaa gani kuangalia
😂😂😂

Lile giza ni angavu sana kama kwenye mwezi mpevu matukio yote unaona vyema kabisa
mi sipendi giza giza vile, jana nmeangalia Virtuoso na yenyewe imejua kuniumiza kichwa kutafakari over mtihani. Movie za hivi sipendagi
 
Em punguza maneno ulitaka muvi iweje?

Baada ya kueleza hayo naomba majina ya muvi kali za kuanzia mwaka huu ila zisiwe
Horror
Science Fi..

Nataka
Thriller
Action basi.

NB nineshaangalia
Wrath of a man
Thise who wish me dead
Ten minutes gone
Without romorse
Virtuoso
No body

aisee
 
mi sipendi giza giza vile, jana nmeangalia Virtuoso na yenyewe imejua kuniumiza kichwa kutafakari over mtihani. Movie za hivi sipendagi
Wewe naona unataka muvi ambazo ni drama tena zilizoigizwa na watoto wa mjini pamba kali wanaolula bata ufukweni
 
Mwaga majina ya muvi hapa

Mortal Kombat

Army of the Dead

Quiet place II ( umesema utaki horror ila hii ni thriller pia kwahyo nmeiweka na nakushaur hata kama umeiona ya kwanza irudie then cheki hii ili uwe bado wamoto moto)
 
Mortal Kombat

Army of the Dead

Quiet place II ( umesema utaki horror ila hii ni thriller pia kwahyo nmeiweka na nakushaur hata kama umeiona ya kwanza irudie then cheki hii ili uwe bado wamoto moto)
Ishatoka kwan siangaliag thriller ila hii nimeikubali namna ilivyo sio yale mauchawiuchawi
 
Mkuu ni app gani ya kupakuwa movie kwa kutumia Mb tu bila kulipia.
Movie box pro utaipata gogle
Screenshot_20210417-190836.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom