With iOS15 you will never lose your iPhone/iPad

DUMEGUY

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
500
204
With iOS 15, your iPhone is still traceable through the Find My network even when the device is powered off. It seems that with iOS 15, the phone is not really fully ‘powered off’, it stays in a low-power state and acts like an AirTag, allowing any nearby iOS device to pick up the Bluetooth signal and send back its location.

This also means if your iPhone runs out of battery during the day, you still have a chance of finding its location for several more hours. In fact, Apple says the location tracking will even keep working whilst the phone is reset to factory settings with Activation Lock enabled.

If power off will connect to another iphone / ipad nearby via Bluetooth / airdrop. Will then borrow the wifi / 4G connection of the machine connected to the location and send it to the Apple server whatever location is.

083E091A-B501-4C94-9393-26BCC66C8CE1.jpeg
 
Hao ndiyo apple bwana. Uwa wanaanza kwa vitu vichache na vingi wanabaki nyuma, ila when they implement anything they implement it in the right way.
Hiyo ndiyo sifa kubwa ya Apple. Vitu vingine anavyozindua vilikuwepo Android miaka mingi tu (Hiki siyo kimojawapo), lakini yeye akianza vitumia anavitumia in the way that vina make sense zaidi. Kuanzia widgets, Live text (Ilikuwepo kwenye google lens), na mengine.
 
Kuna tu feature na tu madoido hua tunanivuta sana kuja IOS ila mfuko unanibana ,nikitokea kuipata iphone hasa hizi latest nitashukuru acha nikae tu na midrange za xiaomi ipo siku nitakua Os zote
 
Kuna tu feature na tu madoido hua tunanivuta sana kuja IOS ila mfuko unanibana ,nikitokea kuipata iphone hasa hizi latest nitashukuru acha nikae tu na midrange za xiaomi ipo siku nitakua Os zote

Ikiwa tayari simu zote zinazo support zitapata. Haijarishi ni wapi au nchi gani
ok ila hakuna update ya new version mpaka sasa
labda simu zetu ni fake!!
 
Back
Top Bottom