With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Nimemuona mwaya...... Nimekumbuka zamani zileeeeee za furaha chit chat daaaaaah!
Zamani ya akina Lizzy Roulette kabla hajabadili jina toka RussianRoulette khaaaaa
Nakumbuka Bishanga wakati kabadili location na kuandika Unga Ltd hahahahaaa then akakutana na mwenzake kajiexport pia heheheee

Old is Gold kwa kweli dah
 
Last edited by a moderator:
Unakula nini hapa nafakamia kababu kubwa za Nairobi.

Hahahaha....una uji uporoto01?
Mie nakula futari ya mihogo, ndizi, tambi, maharagwe yenye sukari, nazi na iliki ya kutosha lol.... Uji kwa pembeni.... Karibu sana ndugu yangu!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa
Tulia meeeen
Mbona hatukaribishani kufuturu?

Hahahaha...... Karibu kama jasho la mtu laliwa teh teh.... Afu ndio nini kunifuturisha huku nimeshika simu lakini? Umbea unaniwasha ujue eeh..... Dakika moja uliyosema ni kwa saa za afrika ya magharibi au?
 
Hahahaha....una uji uporoto01?
Mie nakula futari ya mihogo, ndizi, tambi, maharagwe yenye sukari, nazi na iliki ya kutosha lol.... Uji kwa pembeni.... Karibu sana ndugu yangu!
Mi nagonga Konyagi ya kopo, ndovu ya kiroba, serengeti ya packet ,tustker ya kupima,bia na wine
 
Hahahaha...... Karibu kama jasho la mtu laliwa teh teh.... Afu ndio nini kunifuturisha huku nimeshika simu lakini? Umbea unaniwasha ujue eeh..... Dakika moja uliyosema ni kwa saa za afrika ya magharibi au?
Hahahahahaaaaa nishasahau meeeen!
Hahahahaaaaa utajikuta unapitiwa na usingizi huku umeshika simu mkononi hahahahaa
 
Back
Top Bottom