With a light touch: What is it Komba?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,006
Adam Lusekelo
Daily News

I hear that CCM praise singer John Komba is making noises about those guys in the Ze Comedy. Eti, he wanted Ze boys to ask him permission to act him.

Permission? Which jungle is Mr Komba coming from? Has he never heard about anything called satire? Kejeli? He could be forgiven for that. Too much praise singing can be bad for you. There is a whole wide world out there.

Eti, Komba threatened to take Ze boys to court. I never knew the guy could be funny. He wants the advocate to laugh his head off. Take Ze boys to court? The advocate who will listen to John Komba will have to be pretty desperate to take up such a case.

Who in the first place, told Komba that Ze boys were acting him? Or is he just imagining things? I will give him a lesson. Too much CCM vikao and praise singing can be bad for you.

Satire is an age old art. As old as humankind in fact. It is used to make fun of everybody who is funny, like Mr Komba. You might take yourself very seriously, but the rest of us think you are just a clown.

Politicians are usually the object of satire. What do you make of a politician yelling that he is going to fight corruption, only to learn that he has corruptly acquired the Kiwira coal mine?

What do you do when a politician says he is going to fight corruption only to learn that he brought a fictitious company called Richmond to provide fictitious power to Bongo?

What do you do when a politician sells his own country to a gold company in a London hotel, and the hides the papers and calls it secret. How do you keep secrets from owners of the gold? He signs ruinous deals and the rest of us feel helpless and impotent. So the rest of us just shake our heads and laugh bitterly at people who will happily sell their own mothers.

Komba says that leaders should not be made fun of by Ze Comedy. Another jungle thought. Does he know that those rulers he is holding in awe are just people, like us? They do all the things we do. They even go to the loo. They show the same weakness we all have – nepotism, they favour their chicks or lovers. They are just people. The only difference is that they are surrounded by beefy guys called bodyguards.

CCM should give Kombi a trip to Britain. Over there not even the queen of free from satire. You should see a cartoon of Prince Charles or Premier Gordon Brown. No one asked for permission. You want public office then you should be able to take the consequences, including ridicule and even plain insults. If you don’t like it then leave the job and retire in your home village.

The higher you go and people will be curious to know the colour of your underpants. So Mr Kombi should know that if he has nothing to say, he should shut up! Or go and sing praises to the CCM somewhere.

Mbwene2@yahoo.com
 
I cant believe it was published in the daily news! Big Up Lusekelo!

Lusekelo miaka na miaka anaandika kwenye Daily News articles zake zenye utata kwa serikali toka miaka ya 80. Hiyo nafasi aliipata baada ya Freddy Macha kuondoka. Hawa wawili maandishi yao yanafanana.

Ndio maana wakati mwingine ninakuwa mgumu kuamini kwamba serikali
ya Tanzania inaweza kumzima mwandishi wa habari kama ameamua kufanya kweli. Lusekelo na Macha ni mifano halisi ya wanahabari ambao kwa miaka wamekuwa wakiikosoa serikali bila woga.
 
Adam mwanaume wa shoka, hababaishwi na hawa wezi uchwara ambao wanafikiri WTZ wote wajinga. Bravo Bravo Adam.
 
Hata mimi kila siku nikisoma article za Lusekelo huwa najiuliza tena hivi kweli waandishi katika nchi huwa wanabanwa au wanaogopa vivuli vyao? Naona katika uandishi wa Tanzania kuna self censorship zaidi kuliko state censorship. It is the fear of unknown. eg, hakuna mtu aliyewaamuru wasichapishe ilie list of shame, ila waliamua wenyewe kwa waoga wao wakaacha kuchapisha isipokuwa MwanaHalisi. Inawezekana tuna uhuru sana wa habari katika nchi yetu ila hakuna watu wa kuutumia huo uhuru kwa sababu ya woga, unafiki, kujipendekeza na kutaka kuonekana mzuri kwa kila mtu!
 
Lusekelo ni mwandishi wa siku nyingi, nakumbuka tangu nikiwa O level miaka ya 80 jamaa alikuwa akimwaga vitu huko daily news kiaina.
Htuwezi sema hakuna vitisho, Lakini twaweza sema kwamba Uhuru wa vyomba vya habari Tanzania ni mkubwa kuliko ule ulioko Zimbabwe kwa Mugabe.

Kujikomba kwa waandishi wa habari serikalini na kutegemea yasiyotegemewa ndiko kuna waponza waandishi wengi.Ukiandika mambo wanayo taka kusikia akina Lowassa watakuita kwenye misafara iliyojaa posho na siku moja akiwa Rais wa Tanzania atakuita Ikulu kuwa mkurugenzi wa Idara ya habari. Na endapo nafasi hiyo imejazwa basi utateuliwa angalau kuwa Bosi wa department ya BBQ na ustawi wa mashavu huko Ikulu.
 
So true.You rembember the cartoon in the Nation by a Kenyan[cartoonist of Tanzanian journalist/reporters boot licking JK who was portrayed sitting on a throne ?!/B]
 
Lusekelo always brave,
and his style of writing,short,clear and direct to the point,no beating around the bush..keep it up bro,as is the rule,kizur siku zote hujionesha hata kama kimezungukwa na msitu wa wapambe,walafi, mafisadi,etc...
 
That is ULEMEKEZEKA BAMBO KOMBA if Lusekelo happen not to know him.He is a top dog.And the like are the ones who play the game.
Ujo nkulubu malafyale gwa kusintu-Ukamenye?
 
hawa majamaa are not exposed bado wako kule kwa viongozi ndi miungu wa duniani, najua kuna wengi watajitokeza kulalamikia ze commedy

jinsi hawa vijana wanavyokandamiza ndio jinsi wanavyozidi kuwapata popularty.
 
Adam Lusekelo
Daily News

I hear that CCM praise singer John Komba is making noises about those guys in the Ze Comedy. Eti, he wanted Ze boys to ask him permission to act him.

Permission? Which jungle is Mr Komba coming from? Has he never heard about anything called satire? Kejeli? He could be forgiven for that. Too much praise singing can be bad for you. There is a whole wide world out there.

Eti, Komba threatened to take Ze boys to court. I never knew the guy could be funny. He wants the advocate to laugh his head off. Take Ze boys to court? The advocate who will listen to John Komba will have to be pretty desperate to take up such a case.

Who in the first place, told Komba that Ze boys were acting him? Or is he just imagining things? I will give him a lesson. Too much CCM vikao and praise singing can be bad for you.

Satire is an age old art. As old as humankind in fact. It is used to make fun of everybody who is funny, like Mr Komba. You might take yourself very seriously, but the rest of us think you are just a clown.

Politicians are usually the object of satire. What do you make of a politician yelling that he is going to fight corruption, only to learn that he has corruptly acquired the Kiwira coal mine?

What do you do when a politician says he is going to fight corruption only to learn that he brought a fictitious company called Richmond to provide fictitious power to Bongo?

What do you do when a politician sells his own country to a gold company in a London hotel, and the hides the papers and calls it secret. How do you keep secrets from owners of the gold? He signs ruinous deals and the rest of us feel helpless and impotent. So the rest of us just shake our heads and laugh bitterly at people who will happily sell their own mothers.

Komba says that leaders should not be made fun of by Ze Comedy. Another jungle thought. Does he know that those rulers he is holding in awe are just people, like us? They do all the things we do. They even go to the loo. They show the same weakness we all have – nepotism, they favour their chicks or lovers. They are just people. The only difference is that they are surrounded by beefy guys called bodyguards.

CCM should give Kombi a trip to Britain. Over there not even the queen of free from satire. You should see a cartoon of Prince Charles or Premier Gordon Brown. No one asked for permission. You want public office then you should be able to take the consequences, including ridicule and even plain insults. If you don’t like it then leave the job and retire in your home village.

The higher you go and people will be curious to know the colour of your underpants. So Mr Kombi should know that if he has nothing to say, he should shut up! Or go and sing praises to the CCM somewhere.

Mbwene2@yahoo.com

Kaka Bubu
Kwanza andika kwa Kiswahili haswa kwani mimi namfahamu huyu Bwana alikuwa Mwalimu wa Chekechea sasa wakati anamalizia mujibu wake ilitoa order mwaka 1976 kusherekea kuzaliwa TANU miaka 26 huyu Bwana aliimba nyimbo zake pale wakaamua awe Mwanajeshi kwa ajili ya kuimba imba. kwa hiyo hata hili tunalitaka kumuelimisha bora tuandike kwa Kiswahili ili aelewe kwamba amechemka. Tena ningependa akina Zecomedy wamuigize hata hapo anapotaka kuwachukulia hatua.
 
Ze Comedy ya juzi pia iligusia mnuso (ze beer) unavyoingizia nchi mapato kuliko madini. Big up!
 
carry on adam. huyu komba ni kasuku tu. kazi yake kama 'praise singer' ni upuuzi mtupu. ccm inatakiwa iepukane na watu wenye mentality kama ya komba. iwaepuke kama ukoma.
 
kUBWA MNO LUSEKELO LAKINI SASA NAFARIJIKA KUONA THE COMEDY NI MSUMEMO UNAKATA KILA UPANDE NA WALIOTAKA MANDAMO DHIDI YAO JUU REV.SLAA LEO WANAKUBALI MAFAO TUYAPATAYO TOKA KWENYE ZE BINGWA
 
Hatuwezi sema hakuna vitisho, Lakini twaweza sema kwamba Uhuru wa vyomba vya habari Tanzania ni mkubwa kuliko ule ulioko Zimbabwe kwa Mugabe.

Ndugu yangu wewe unaishi Tanzania gani? Uhuru mkubwa uliopo Tanzania uko kwenye magazeti yenye heading za "kandanda kitandani" au "Bw Jambo afumaniwa", zile issue zenyewe za maana uhuru bado unasuasua. Nadhani umesikia jinsi This day wanavyosumbuliwa na kutishiwa, waliochapisha list of shame wanatishiwa kupelekwa mahakamani na kutakiwa kuomba msamaha, ulisikia jinsi watu walivyoanza kuchimba mkwara kumuita JK msanii.......mimi binafsi naona bado tunasuasua tu, uhuru huo umebase kwenye kupenda kwa viongozi, kama hawapendi basi hakuna uhuru, kungekuwa na base ya kisheria basi hapo ingekuwa sawa.
Lakini kujilinganisha na kipofu sio jambo zuri, labda ingekuwa vizuri kama tungejaribu kujilinganisha na Afrika kusini, lakini sio ujilinganishe na mdhaifu ili ujione una nafuu.
 
Back
Top Bottom