Wish you merry x-mass &happy new yr all jf members

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,945
22,096
Neno la uzima 2010
nawajua walio wangu..haya ni maneno kutoka kwa bwana yesu
je wewe uko wapi ...wapendwa katika bwana nawapongeza wote mlioshiriki katika mijadala mbali mbali jamvini kwa wale waliouziwa...na pdidy huu ndio muda wa kusamehe walioniuzi nimewasamehe kwa jina la bwana yesu na mod akiwa shaidi...
Nawapongeza mods wote kwa kazi nzuri wanayoifanya mungu awajalie waone tena 2011
mwisho kwa niaba ya pdidy familia na wafanyakazi wote wa didy fishering centre nawatakia xmass na mwaka mpya mwema

mungu awabariki ukawe mwaka wa mafanikio wakati tukimkumba yesu kuzaliwa kwake
 
Attachments

  • YESU MSALABANI.jpg
    YESU MSALABANI.jpg
    3.2 KB · Views: 25
Amennnnnnnn,hivi hii si sawa na hepibesday?tunaruhusiwa kusema same to u eeeeh?same to u n family
 
Ooooh!!!!! Thanx a lot Pdidy, I'm also wishing you and all you love most happy Xmas and New Year.
So sorry, unapoandika Mungu na Yesu kwa herufi ya kwanza ndogo unakuwa hujatenda haki kabisa. So sorry for that.
Neno la uzima 2010
nawajua walio wangu..haya ni maneno kutoka kwa bwana yesu
je wewe uko wapi ...wapendwa katika bwana nawapongeza wote mlioshiriki katika mijadala mbali mbali jamvini kwa wale waliouziwa...na pdidy huu ndio muda wa kusamehe walioniuzi nimewasamehe kwa jina la bwana yesu na mod akiwa shaidi...
Nawapongeza mods wote kwa kazi nzuri wanayoifanya mungu awajalie waone tena 2011
mwisho kwa niaba ya pdidy familia na wafanyakazi wote wa didy fishering centre nawatakia xmass na mwaka mpya mwema

mungu awabariki ukawe mwaka wa mafanikio wakati tukimkumba yesu kuzaliwa kwake
 
Ooooh!!!!! Thanx a lot Pdidy, I'm also wishing you and all you love most happy Xmas and New Year.
So sorry, unapoandika Mungu na Yesu kwa herufi ya kwanza ndogo unakuwa hujatenda haki kabisa. So
sorry for that.

GOD HAVE MERCY ON PDIDY
Thanks much bra ntajitahdi ni uandishi napigania Urweyimamu so unakuta nasahau kuiandika
Sikukuu njema wote jamani
 
GOD HAVE MERCY ON PDIDY
Thanks much bra ntajitahdi ni uandishi napigania Urweyimamu so unakuta nasahau kuiandika
Sikukuu njema wote jamani

Mkuu mambo vp? hupatikani? tutafutane mkuuu
 
Nipo mkuu nilikuwa kgl kidogo na dili la kufunga zile mashine zetu 700 za kulipia
si ulimsikia kagame ameona vijana wengi wako na afya njema sema wanakufa na ukimwi sababu ya kuona aibu kununu dukani ..amemwaga dili la mashine 700 unaweka coins unachagua RAFURAIDA/SALWAMA/NIPENIKUPE/SAFI/ YAANI kwa raha zake mpwa nimerudi nasubiri appointment ya rais wangu tukaokoe hata viji DIDY Vinavyoendelea kuzaliwa kaka na sie tufunge pale samora.za uzima
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom