"inventer" ni chama kipya hiki cha kisiasa niniIla mpaka uwe na inventer.
inafaa na inashauriwa zaidimatuminzi ya DC pekee haitafaa
inafaa na inashauriwa zaidi
kuna vifaa kibao vya nyumbani vya DC, kama feni, tv, friji, nk
Asante kwa ushauri wako
kuhusu iyo wiring ya tanesco, ni vyema cable za final sub circuit ( za mwishoni ) zikawa ni za 2.5 mm2,
ukitumia za 1.5 mm2 au pungufu, umeme utapotea mwingi njiani
Boss umenipa maelezo ya kitaalam sana, baadhi nimeelewa lakini huko kwenye kanuni za kimahesabu siko vizuri sana, Lakini pia nataka kujua upotevu huo wa umeme unaweza kuwa zaidi,kuwasawa, au kuwa pungufu tukilinganisha na ule umeme utakaopotea kwenye wireling ya sola?Assuming unamaanisha Ku run DC electricity (na sio kutumia inverter kurun AC)
Your resources
Rated power = 150W panel
Battery capacity = 120Ah
Total energy capacity = P*battery capacity=150*120=18000Wh
You're max. Capacity = 18KWh
ASSUMPTION
>system efficiency (KWh to KW) = 90%
So available KW in one hour before the battery is drained out = e*KWh =0.9*18
, available P=16.2KW
ASSUMPTION
>copper wire transmission power losses PLos= I^2R= (10-20%)
PLos=0.2*16.2=3.24KW
power at your load, PL =P-PLos
PL=16.2-3.24=12.96KW approx. 13KWh units of energy in 1 hour
cable sizing (mm^2):
Cable size is determined by amperages (I)
P=I*V
ASSUMPTION
>assuming your system runs on 12V
I=V/R
P=V^2/R
R=£L/A
£=copper resistivity=1.72*10^-8 OhmMeter
L=length of wire (taken in 1m)
A= wire cross sectional area
P=V^2*A/(£L)
A= P£L/V^2
For max. Power flow (assuming 0% losses P=16.2KW):
A=16.2*1000*1.72*10^-8*1/12^2
A=1.935mm^2
For minimum power flow(taking account the power losses ):
A=12.96*1000*1.72*10^-8*1/12^2
A=1.548mm^2
Most of the houses runs 1.5mm^2 cable for lighting circuits and 2.5mm^2 cable for sockets circuits and I'm in range.
NB:
----------
If (my engineering assumptions meets your working area)
{ run the system };
esle if (they doesn't meet your conditions)
{ Adjust my assumptions};
else:
{do what you think is correct};
Regards;
An Engineer.
Inategemea na how long cable zimetembea/tandazwaBoss umenipa maelezo ya kitaalam sana, baadhi nimeelewa lakini huko kwenye kanuni za kimahesabu siko vizuri sana, Lakini pia nataka kujua upotevu huo wa umeme unaweza kuwa zaidi,kuwasawa, au kuwa pungufu tukilinganisha na ule umeme utakaopotea kwenye wireling ya sola?
Asante MkuuInategemea na how long cable zimetembea/tandazwa
10-20% ni acceptable power losses at some conditions
But I'm sure system yako itakua within reasonable power losses , seems like hata wiring sio kubwa Sana kwahiyo tumia hiyohiyo Tu.
Ungedesign wewe wiring ya DC ungefanya calculations before, ili kudetermine reasonable power loss.