hata mimi kwenye komputa yangu , wireless na bluetooth zilikuwa hazifanyi kwa win8. nimepata solution yake kwa kutafuta driver zake kwenye website ya manufacture wake. ilikuwa ni toshiba satellite.
nilipoweka drivers tu kitu kimejipa.
na wewe jaribu driver
Paje nisaidie nami nina tatizo hilo hilo toshiba satellite c850 au c850-f02y,,,walau niwekee limk pa kupata hizo drivers za wireless
zipo na drivers za 64bit. lakini kwa vile mimi nilichagua windows 8 32 bit driver download link yake ni http://support1.toshiba-tro.de/tedd-files2/0/wlesslan-20120914172315.zip hizi zimeniwezesha bluetooth pamoja na wireless internet.
kama wewe umetumia windows 8 64bit basi unaweza kupata kwenye page hii Download drivers: