Wireless kwenye Win 8 msaada

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
Nimeenda kwenye Pc setting iko Off kuiset On haikubali.Mwenye kujua naomba msaada wakuu
 
unapoweka windows 8 consider hardware upgrade kwa badhii ya mashine. hata uki update driver bado ina weza goma
 
hata mimi kwenye komputa yangu , wireless na bluetooth zilikuwa hazifanyi kwa win8. nimepata solution yake kwa kutafuta driver zake kwenye website ya manufacture wake. ilikuwa ni toshiba satellite.
nilipoweka drivers tu kitu kimejipa.
na wewe jaribu driver
 
Paje nisaidie nami nina tatizo hilo hilo toshiba satellite c850 au c850-f02y,,,walau niwekee limk pa kupata hizo drivers za wireless
 
Last edited by a moderator:
Paje nisaidie nami nina tatizo hilo hilo toshiba satellite c850 au c850-f02y,,,walau niwekee limk pa kupata hizo drivers za wireless

zipo na drivers za 64bit. lakini kwa vile mimi nilichagua windows 8 32 bit driver download link yake ni http://support1.toshiba-tro.de/tedd-files2/0/wlesslan-20120914172315.zip hizi zimeniwezesha bluetooth pamoja na wireless internet.
kama wewe umetumia windows 8 64bit basi unaweza kupata kwenye page hii Download drivers:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom