project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,166
- 1,532
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri naomba kufahamu brand za wireless head phone nzuri za bei ya kuanzia 20k -30k zinazokaa na chaji kwa mda kidogo na base na sound quality nzuri
Ipi ni nzuri zaidi kwa sauti nzuri na base nzuriZipo nyingi nenda dukan Sony, Vin..nk
Ipi ni nzuri zaidi kwa sauti nzuri na base nzuri