Winners and Losers 2007

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Mwaka ndio huo umeanza kuyoyoma na kufungwa katika vitabu vya historia. Je ni nani walikuwa washindi na kina nani waliokuwa wameshinda katika maeneo mbalimbali.

Siasa za Tanzania:

Winners:
- Zitto Kabwe - Sakata la Buzwagi
- John Magufuli- Ujenzi wa nyumba za bei nafuu na mabadiliko makubwa kwenye ofisi za Ardhi
- Pius Msweka - Karudi katika uongozi wa CCM
- Dr. Slaa na timu nzima ya "Orodha ya Mafisadi"
- CCM imeendelea kuvuna wanachama licha ya kashfa nyingi na hivyo kuendelea kuwa kinara wa siasa nchini

Losers:
- Jakaya Kikwete na Baraza lake - Watanzania wamekatishwa tamaa kwa kiasi kikubwa licha ya ahadi nyingi nzuri
- Nimrodi Mkono - Uhusiano wake na vyombo vya fedha umemuingiza kwenye matope
- Chadema - Kama Chama, kimeshindwa kuvuna matunda ya jasho lake na kushindwa kutumia nafasi ilizopata za kujipatia ujiko wa kisiasa.

Uongozi
Winners:
- CCM na CUF - kuendelea "kuzungumza" bila kukomesha mazungumzo
- Kamati Kuu Chadema - jinsi walivyoshughulikia suala la Zitto kuingia kwenye Kamati ya Madini
- Dr. Idris wa Tanesco na kutikisa kwake Kiberiti hatimaye kupata alichotaka

Losers:
- Edward Lowassa - kupaa kwa ndege na kasungura kake vimempunguzia sana makali yake
- Prof. Peter Msolla - kushindwa kushughulikia matatizo ya Elimu ya Juu hadi
- Mustapha Nyang'anyi na sakata la Mahujaji
- David Mattaka

Michezo

Winners:
- Kocha Maximo na timu ya Taifa kufikia ilikofikia
- Timu ya Wanawake ya Taifa
-

Losers:
- Mashabiki wa soka waliofikiri mwaka huu ni wa neema

Vyombo vya habari
Winners:
- This Day na habari zake za uchunguzi
- Raia Mwema - kuibuka kwa Jenerali na timu nzima iliyowika huko nyuma na kuja kwa kishindo
- TVT kuweza kuingia mkataba na JumpTV na mabadiliko yanayoletwa na Tido
- Channel 10 na Star TV na vyombo binafsi vilivyoanza kutangaza eneo zima la Afrika ya Mashariki

Losers:
- Salva Rweyemamu na kitendo cha "kutokuwa na habari" kuhusu Balali
- Waandishi wa Hotuba wa Rais kwa kuandika hotuba zisizoingia akilini

Uchumi na Biashara
Winners:
- Kampuni ya Tigo
- Kampuni ya Vodacom

Losers:
- BoT na kashfa za fedha
- Barrick Gold na mkataba wa Buzwagi

Siasa za Kimataifa:
Winners
- Marekani na mkakati wake wa "surge" huko Iraq
- Osama na mkakati wake wa kujificha kwenye mapango
- Liberia na Sierra Leone
- Jacob Zuma na mapinduzi ya kiongozi kwenye ANC
- Raila Odinga na ODM
- Rwanda na kujitangaza

Losers:
- Mwai Kibaki na sakata la uchaguzi wa Kenya
- Pakistani na mauaji ya Benazir Bhutto
- Wakenya na vurugu za kisiasa

Maeneo mengine na additions; unafikiri ni nani wameibuka washindi au washindwa katika mwaka huu unaoisha?
 
Bongo Online media

Winners
JF Kwa kuongeza wanachama na msisimko wa mijadala (several huge coups)
The blogging community kwa kuongeza blogs na msisimko
Tanzanian Common Cents (first financial blog)
CHADEMA kwa kutumia mtandao kuwasiliana na wanachi moja kwa moja.

Losers
YA kwa kupoteza muelekeo na wanachama
BCS (was that this year?)
IPPMedia kwa kuzidisha quality mbovu ya reports
Serikali /CCM kwa kushindwa kutumia internet despite the advantegeous position
 
Vyombo vya habari
Winners:
- This Day na habari zake za uchunguzi
- Raia Mwema - kuibuka kwa Jenerali na timu nzima iliyowika huko nyuma na kuja kwa kishindo
- TVT kuweza kuingia mkataba na JumpTV na mabadiliko yanayoletwa na Tido
- Channel 10 na Star TV na vyombo binafsi vilivyoanza kutangaza eneo zima la Afrika ya Mashariki

Losers:
- Salva Rweyemamu na kitendo cha "kutokuwa na habari" kuhusu Balali
- Waandishi wa Hotuba wa Rais kwa kuandika hotuba zisizoingia akilini


what about JAMBOFORUMS? i believe sisi tunaongoza kama winners
 
FAIL:

Mohamed Seif Khatib na hesabu zake za REDET kuhusu miaka 2 ya JK (Kuridhika kidogo + Kuridhika sana = Kuridhika)
 

23375564.jpg


MAXIMO aliposaini contract ilikuwa atatupeleka GHANA na kashindwa kudeliever sasa sijui hapo kashinda nini

MKJJ i am asurprised kuwa you are taking the same pake like JK. We all know the BRAZILIANs main failing was that he courted popularity first and success second. This warped priority could lead only to disaster. One decision after another was based on his need to be liked. That made him a coach seeking to avoid blame, and that is the same as avoiding responsibility.I am sorry to say this lakini akina NIZAR KHALFANI are not looking forward to play professional football in Brazil where this twat MAXIMO is taking TAIFA STARS but rather EUROPE.

MWANAKIJIJI You judge a manager by his results, not by the PR strokes he pulls. And when the results start to go wrong, everything else goes wrong as well. Now, a manager doesn’t really have a lot to do. He doesn’t score the goals, he doesn’t make the tackles, he doesn’t run about. Basically, he is paid to make decisions. The trouble is that good decision-making needs a clear mind and an unsentimental grasp of facts. MAXIMO never showed any sign of having either.

point well taken..
 
Cyber Bullying


Losers

Mwanakijiji on Ukraine Saga, kuahidi kuweka picha za ngono za JK na asiweke, kulazimisha watu wasi jadili "mambo binafsi" ya baadhi ya vigogo, kushindwa kupindisha historia ya Kambona nk
 
Quote:-

"Nilishaacha kusoma hotuba za Ikulu toka Mwalimu alipoondoka pale na kuwaachia wa-babaishaji......."

Very strong and powerful!
 
Huyu Loser hapo chini kamaliza mwaka vizuri sana...ujenzi wa barabara uwe kwenye ajenda yake ya 2008.

295844694.jpg
 
HIvi hata alitoka ndani ya hilo gari maana anavyoonekana amekaa tu anaombea gari lijinasue
 
Winner: Prof Mwandosya na wananchi wa Tanzania - Uchaguzi NEC Mbeya.
Loser: Lowassa, Mwangonda and friends, trying to remove Mwandosya from Mbeya...Total funds used in "Operation Ondoa Mwandosya Mbeya" SH 1 BILLLION...(
Wanambeya hiyo hela walikula na kura hawakumpa Mwangonda kuonyesha watu kuwa mtu hawezi kununuliwa kama mtumwa. Watanzania Igeni mfano wa Mbeya, mtu akija na hela hizo...KULENI TU..ILA KURA NI SIRI YAKO..USINUNULIWE :D
 
HIvi hata alitoka ndani ya hilo gari maana anavyoonekana amekaa tu anaombea gari lijinasue


Mkuu, hivi moja ya justification ya manunuzi ya such expensive cars kama hilo VX hapo si wanasema(ga) kuwa ni kutokana na ubovu wa barabara za vijijini na mikoani ili wanapokuwa wanakagua 'miradi ya maendeleo' wasipate shida? sasa mbona amekwama hapo, ukichukulia thamani ya hiyo gari ni zaidi ya helaza madafu milioni 100, hivi landcruiser hard top ya kama m40 si ndo ingefaa zaidi hasa kwa barabara kama hizi?
 
Back
Top Bottom