Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,710
- 40,777
Mwaka ndio huo umeanza kuyoyoma na kufungwa katika vitabu vya historia. Je ni nani walikuwa washindi na kina nani waliokuwa wameshinda katika maeneo mbalimbali.
Siasa za Tanzania:
Winners:
- Zitto Kabwe - Sakata la Buzwagi
- John Magufuli- Ujenzi wa nyumba za bei nafuu na mabadiliko makubwa kwenye ofisi za Ardhi
- Pius Msweka - Karudi katika uongozi wa CCM
- Dr. Slaa na timu nzima ya "Orodha ya Mafisadi"
- CCM imeendelea kuvuna wanachama licha ya kashfa nyingi na hivyo kuendelea kuwa kinara wa siasa nchini
Losers:
- Jakaya Kikwete na Baraza lake - Watanzania wamekatishwa tamaa kwa kiasi kikubwa licha ya ahadi nyingi nzuri
- Nimrodi Mkono - Uhusiano wake na vyombo vya fedha umemuingiza kwenye matope
- Chadema - Kama Chama, kimeshindwa kuvuna matunda ya jasho lake na kushindwa kutumia nafasi ilizopata za kujipatia ujiko wa kisiasa.
Uongozi
Winners:
- CCM na CUF - kuendelea "kuzungumza" bila kukomesha mazungumzo
- Kamati Kuu Chadema - jinsi walivyoshughulikia suala la Zitto kuingia kwenye Kamati ya Madini
- Dr. Idris wa Tanesco na kutikisa kwake Kiberiti hatimaye kupata alichotaka
Losers:
- Edward Lowassa - kupaa kwa ndege na kasungura kake vimempunguzia sana makali yake
- Prof. Peter Msolla - kushindwa kushughulikia matatizo ya Elimu ya Juu hadi
- Mustapha Nyang'anyi na sakata la Mahujaji
- David Mattaka
Michezo
Winners:
- Kocha Maximo na timu ya Taifa kufikia ilikofikia
- Timu ya Wanawake ya Taifa
-
Losers:
- Mashabiki wa soka waliofikiri mwaka huu ni wa neema
Vyombo vya habari
Winners:
- This Day na habari zake za uchunguzi
- Raia Mwema - kuibuka kwa Jenerali na timu nzima iliyowika huko nyuma na kuja kwa kishindo
- TVT kuweza kuingia mkataba na JumpTV na mabadiliko yanayoletwa na Tido
- Channel 10 na Star TV na vyombo binafsi vilivyoanza kutangaza eneo zima la Afrika ya Mashariki
Losers:
- Salva Rweyemamu na kitendo cha "kutokuwa na habari" kuhusu Balali
- Waandishi wa Hotuba wa Rais kwa kuandika hotuba zisizoingia akilini
Uchumi na Biashara
Winners:
- Kampuni ya Tigo
- Kampuni ya Vodacom
Losers:
- BoT na kashfa za fedha
- Barrick Gold na mkataba wa Buzwagi
Siasa za Kimataifa:
Winners
- Marekani na mkakati wake wa "surge" huko Iraq
- Osama na mkakati wake wa kujificha kwenye mapango
- Liberia na Sierra Leone
- Jacob Zuma na mapinduzi ya kiongozi kwenye ANC
- Raila Odinga na ODM
- Rwanda na kujitangaza
Losers:
- Mwai Kibaki na sakata la uchaguzi wa Kenya
- Pakistani na mauaji ya Benazir Bhutto
- Wakenya na vurugu za kisiasa
Maeneo mengine na additions; unafikiri ni nani wameibuka washindi au washindwa katika mwaka huu unaoisha?