Wine ni bure katika eneo hili nchini Italia

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
UNAAMBIWA: Italia kuna eneo Maalum ambalo linatiririsha Wine saa 24 kila siku na ukipita hapo unakunywa zako Wine bure kabisa, eneo hili lipo Ortona, Abruzzo Mji ambao upo kusini mwa Roma na lengo hasa ni kufanya wageni waonje msisimko wa Wine za Italia na wachangamshe akili kama sehemu ya kiburudisho.

Kwakuwa Unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya, Watu hushauriwa kunywa kistaarabu na sio kugeuza eneo hilo kuwa maskani ya Walevi kwa Watu kunywa mpaka wakazima au kufanya Wine Party kabisa.

Hili sio eneo la Kwanza kutitirisha Wine (Fountain), lilikuwepo pia Ronda Hispania na nyingine Navarra Hispania.

Usisahau kutembeza Tags zako kwa wapenda Wine ambao kama hii ikianzishwa Bongo, watalala zao hapo hapo. 😅😂

Wine.PNG


=====

24-hour red wine fountain opens in Italy​


Dora Sarchese, red wine fountain
Dora Sarchese's red wine fountain. Credit: Dora Sarchese

Visitors to a town in Italy's Abruzzo region can drink red wine from a free fountain set up by a local winery...

The Dora Sarchese winery said on its Facebook page that it had installed the free, 24-hour red wine fountain in the commune of Caldari di Ortona.
Anybody can drink from the wine fountain, but it is primarily to quench the thirst of those taking the Cammino di San Tommaso pilgrimage.


Red wine is currently available 24 hours-a-day at the ‘fontana del vino’ and it works like a push-button drinking fountain.

Photos on the winery’s Facebook page show how staff filled a barrel of red wine that then flows up into the fountain tap.

Caldari di Ortona sits in central Italy’s Abruzzo region, which is home of Montepulciano d’Abruzzo Colline Teramane DOCG.


Dora Sarchese did not name the style of wine feeding the fountain.
Thousands of people do the Cammino di San Tommaso pilgrimage between Rome and Ortona every year.

It’s not the first public wine fountain in Italy.
Venice has had a fountain in St Mark’s Square for its annual carnival.
And it appears that there’s a history of wine fountains in Europe.

Tudor England’s King Henry VIII and France’s King Francis I had a wine fountain for courtiers to enjoy during their meeting in 1520, according to the UK’s Royal Collection Trust.

A painting of that meeting depicts some court-goers slumped by the fountain’s base.
In Abruzzo, Dora Sarchese said its free red wine fountain was not for people to get drunk, but was a gesture to the town.
 
Hii kitu ikianzishwa bongo kuna wahuni watahamia hapo kabisa. Watahakikisha wamekufa ndiyo wakubali kuondolewa hapo.
 
Back
Top Bottom