Tetesi: Windows XP ipo hatarini, waambie ambao bado wanatumia wasome hapa;

T-Bagwell

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
1,190
2,323
Hackers wanaoitwa Shadow Blockers wameachia virus wa ku hack computer zote zenye windows XP na kuiba data zako.

Hiyo yote ni kutokana na Microsoft waliacha kutoa updates za kuilinda hiyo Windows XP mnamo mwaka 2014.
 
Back
Top Bottom