Windows To GO


N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Points
1,225
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 1,225
Hii ni moja ya feature mpya ya Windows 8 (Enterprises) inayoiwezesha Windows 8 ku-boot na kufanya kazi kupitia USB drive. Yaani unaweza kuchukua flash ambayo ina windows to go na kuichmeka kwenye pc nyingine na ukaweza kuitumia kama kawaida. Sasa kama kuna mtu ambaye ameshajaribu hii kitu naomba atupe radha yake hapa.
 
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
kama kwenye ubuntu?
 
tcoal9

tcoal9

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2009
Messages
255
Points
0
tcoal9

tcoal9

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2009
255 0
Windows To Go is a feature in Windows 8 Enterprise that allows Windows 8 Enterprise to boot and run from mass storage devices such as USB flash drives and external hard disk drives.[1] It is a fully manageable corporate Windows 8 environment.

It is intended to allow enterprise administrators to provide users with an imaged version of Windows 8 that reflects the corporate desktop and as such is aimed at enterprises. Creation of Windows To Go drives is not supported by other Windows 8 editions.[2] However, flash drives set up by Microsoft were distributed to those who attended their BUILD developer conference held in September 2011.

Source 1

Source 2

Youtube Video
 
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
nyasiro its possible ku boot ubuntu kutoka kwenye live cd au flash bila kufanya installation yoyote bana, mara nyingi nilikuwa nafanya hivyo nilivyokuwa na cd ya ubuntu 11, waulize wazoefu wa ubuntu, we umeanza kuitumia juzi tu hahahahahahahaa, mie huu mwaka wa nne
 
Last edited by a moderator:
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
MziziMkavu tena kwenye flash memory its 100% better kuliko kwenye cd, mi nimeitumia sana kurun ubuntu kutoka kwenye flash, tena iko poa sana, ila inabidi utumie kaprogrm kadogo kuhamisha files kutoka kwenye cd ili kuwe na boot file maana ukikopi directly hakutakuwa na boot file
 
Last edited by a moderator:
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Points
1,225
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 1,225
nyasiro its possible ku boot ubuntu kutoka kwenye live cd au flash bila kufanya installation yoyote bana, mara nyingi nilikuwa nafanya hivyo nilivyokuwa na cd ya ubuntu 11, waulize wazoefu wa ubuntu, we umeanza kuitumia juzi tu hahahahahahahaa, mie huu mwaka wa nne
C6 nimekusoma ila mm cmaanishi live CD kwani hata Windows XP ina live CD. Yaani hii windows to Go ni tofauti kabisa na live CD. Unaweza ukachomeka USB drive kwenye PC ukafanya kazi halafu ukaichomoa bila Windows kupata tatizo lolote ndani ya sekunde 60 halafu ukaichomeka tena ukaendelea kupiga mzigo kama kawa. C6 nmeanza kutumia Ubuntu toka mwaka 2008/9 cjaanza jana.
 
Last edited by a moderator:
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined
Jun 24, 2011
Messages
7,731
Points
2,000
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined Jun 24, 2011
7,731 2,000
MziziMkavu tena kwenye flash memory its 100% better kuliko kwenye cd, mi nimeitumia sana kurun ubuntu kutoka kwenye flash, tena iko poa sana, ila inabidi utumie kaprogrm kadogo kuhamisha files kutoka kwenye cd ili kuwe na boot file maana ukikopi directly hakutakuwa na boot file
ukiwa na image ya ubuntu ni rahisi sana ku extract bootable file kwenye usb flash kwa kutumia built in program inaitwa startup disk creater inayo extract iso file to usb flash in bootable file system
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,283,494
Members 493,716
Posts 30,791,617
Top