Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,113
- 4,741
Kwa wale fans wa Windows phone, Tayari annivesary update kwa windows phone ishatolewa kwa baadhi ya simu zinazotumia windows. Binafsi natumia Lumia 640, Mwaka jana nilisema ngoja nitest ladha ya WP10. Nikaingia katika insider rings na kuupdate kwenda WP10 preview.
Bahati mbaya nilikuwa disappointed sana, kwani baada ya updates kadhaa simu ilikuwa na matattizo lukuki kama vile app kucrash bila sababu, Na tatizo sugu la simu kuisha chaji haraka. Kwani kuna update moja nilifanya simu ilikuwa inaisha chaji baada ya masaa manne, haikujalisha umeitumia ama laa. Nikaona isiwe tabu. Acha nifall back to WP8, nikarudi zangu WP8 na simu kurudi katika normal mode. Maisha yakaendelea.
Sasa August 16 Microsoft wametoa official release ya windows phone 10. Kuipata na kujua kama simu yako inauwezo wa kupata WP10, nedha katika market, download app inayoitwa "Upgrade advisor". Ukishaipata hii app itakueleza na kukuguide through whole upgrade process. kutokana na reviews nyingi mitandaoni zinasema matatizo sugu ya charge, simu kuhang, na app kucrash yamekwisha.
Pia inashauriwa kama ulikuwa na windows phone 10 preview hapo kabla uliyoipata katika isider rings, just fall back to WP8 kwanza. Then uanze fresh WP10 annivesary update kwa kupitia upgrade advisor. Binafsi baada ya microsoft kutoa annivesary update nilikuwa nangoja reviews za wadau nione kama hayo matatizo ya WP10 niliyokumbana nayo yaliyokuwa katika preview version yamekwisha au laa. Wadau wengi walioenda WP10 annivesary update wamerecomend vizuri. So i am preparing kufanya major update ya WP10.
Kumbuka kufanya backup ya files zako muhimu kama vile picha, video, docs etc kabla ya kufanya update. kwani zitapotea baada ya kuupdate.
So nawakaribisha wadau wote wa windows phone hususan wale walioupdate OS kwenda WP10 anniversary kutoa experience zao baada ya kufanya updates.