Windows 8 na betrii za laptop

Nyasiro

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,200
551
Ni kama mwezi umepita kuna rafiki yangu anunue laptop mpya K.Koo ikiwa na Windows 7 na hali ya betrii yake ilikuwa ni nzuri tuu kwani ilifikisha karibu masaa manne(4) kama ikiwa unplugged. Hiyo laptop sasa ina Windows 8 lakini uki-unplug kutoka kwenye umeme maximum inaweza kuvumilia kwa saa 1. Tulihisi tatizo ni betrii tukaenda dukani tukawaeleza wakatuelewa kwakuwa tulikuwa na warranty wakatupatia betrii nyingine amabyo nayo haikusaidia kitu mchezo ni ulele. Tulichogundua kwa harakaharaka ni kwamba Windows 8 inatumia nguvu nyingi ku-operate na kumaliza nguvu ya betrii. Kama kuna anaejua tatizo hili au yeyote ambaye ameshaona tatizo kama hili baada ya ku-upgrade to windows 8 naomba tuchangie mawazo....
 
inaweza kuwa ni kweli kabisa, kwan hata mm kuna jamaa aliniazima pc yake ikiwa na xp na ilikuwa nikama desktop, na alikuwa anajua betri imekufa, nika mwambia hii window haita tusaidia kw project yetu, nikamshaur tuweke window 7, huwez amini betri ikawa inakaa masaa wa 2 hata mm nilishanga saana, nika gudundua window inaweza sababisha..
 
si kweli yangu imeongezeka yangu ikiwa full mwanga ni masaa 4 na nikitoa nkieka mwanga mdogo masaa 6 lakini toka ni upgrade imeongezeka kama nusu saa maana inafika masaa ma 4 na dk 34 so 8 nzuri zaidi.

Hebu cheki vitu hivi nyasiro.

1. Make sure mwanga haupo maximum upunguze
kupunguza bonyeza fn na button ilochorwa ▼☼

2. Angalia una apps ngapi zinarun background kucheki ctrl+alt+delete then chagua task manager kikija kile kibox ki extend kwa kushow more.

Maana the more processor the more kumaliza charge mapema unaweza kuta nyingi zinarun kwa kujificha. Na windows 8 tofauti na 7 unaweza ukazi disable kabisa
 
kumbe hivi huwezi set mwanga mdogo hata ukizima na kuwasha laptop..
 
Actually Windows 8 inakaa zaidi na battery, imetengenezwa kuwa more efficient. Hakikisha una latest drivers kwa ajili ya PC yako. Nenda website ya manufacturer, tafuta sehemu ya support kisha download na install latest drivers.
 
sawa. asanteni wote kwa mawazo yenu. ntajaribu kurekebisha kama mlivyonieleza nione kama ntapata mafanikio yoyote.
 
labda hiyo laptop itakuwa na matatizo mengine lakini sio win 8
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom