Window Period for HIV

Kuhara

Member
Apr 21, 2018
47
43
Habari za saa hii hapa JF,

Naomba nisaidiwe kufahamu hiki kipindi ambacho mtu anakuwa katika upande wa amepata maambukuzi ya Virusi Vya Ukimwi lakini bado ule muda wa mwezi mmoja mpaka mitatu bado haujafika (Muda huu akipima kipimo kinaonesha NEGATIVE) Je, anaweza kuambukiza kwa mtu mwingine endapo final itamuonesha ni muathirika?
 
Once Una virus, then u are infective no matter what!

Pale kwenye window period kinachomatter ni viral load tu kuwa more ili zisome positive.

Hata kama kipimo kitasoma -ve but kama Una HIV then u can kumuambukiza mwingine!
 
  • Thanks
Reactions: THT
Habari za saa hii hapa JF,

Naomba nisaidiwe kufahamu hiki kipindi ambacho mtu anakuwa katika upande wa amepata maambukuzi ya Virusi Vya Ukimwi lakini bado ule muda wa mwezi mmoja mpaka mitatu bado haujafika (Muda huu akipima kipimo kinaonesha NEGATIVE) Je, anaweza kuambukiza kwa mtu mwingine endapo final itamuonesha ni muathirika?

Unaambukiza tena kwa kasi kubwa zaidi kuliko hapo window period
 
Habari za saa hii hapa JF,

Naomba nisaidiwe kufahamu hiki kipindi ambacho mtu anakuwa katika upande wa amepata maambukuzi ya Virusi Vya Ukimwi lakini bado ule muda wa mwezi mmoja mpaka mitatu bado haujafika (Muda huu akipima kipimo kinaonesha NEGATIVE) Je, anaweza kuambukiza kwa mtu mwingine endapo final itamuonesha ni muathirika?
Ukimwi hauambukizwi msiendelee kudanganyana hv bado mnaendelea kuukumbatia ule uongo mlikaririshwa darasan tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom