sam wilfred
Member
- Nov 23, 2014
- 10
- 9
Uchaguzi wa laptop nzuri ni miungoni swala moja wapo muhimu sana hususani kwa graphics designers pamoja na sounds producers bila kuwasahau watu wa maswala ya IT.
Sasa kama graphics designer nimekuwa na wakati mgumu hususani katika uchaguzi wa laptops nzuri kwa maswala ya designing kati ya window laptops na Macbook laptops ni zipi zina uwezo zaidi na ni nzuri zaidi kwa maswala ya designing.
Toa mtazamo wako unahisi ni laptop zipi ni bora kwenye maswala haya ya designing kati ya window na macbook...