Window hailogin with correct password. Microsoft mnajishushia heshimu yenu

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habar wadau!

Leo nimepata tatizo ambalo sijawah kutana nalo before naomba niweke wazi mm nina password moja tu na ndio io io nalogin kwenye account zangu zote sasa mara ya mwisho nilikuwa nado2nload movie computer ikawa inanipa alert not enough space ckujali sana ilinipa alert mara kadhaa kwamba nodelete file hard disk space oa minimum sikujali.

Sasa leo nawasha pc kila nikiandika password hailogin yaan nimewasha nimezima inagoma nifanyeje microsoft mbona mnajishushia heshima yenu computer zote ofisin ni microsoft leo hii microspft inageuka kituko kwa kufuta data ambazo ni specific kwa uaee kulogin ni bpra hata mfute movie lakini sio data saaaapa nawaza nifanyeje wadau kuhusu reset password sikuset kwenye cd wala flash nifanyeje wadau au ndio nianze na moja nichomoe hard disk nitoe data zangu niingize window upya.

Natanguliza shukran za dhati.
 
Habar wadau !!

Leo nimepata tatizo ambalo sijawah kutana nalo before naomba niweke wazi mm nina password moja tu na ndio io io nalogin kwenye account zangu zote sasa mara ya mwisho nilikuwa nado2nload movie computer ikawa inanipa alert not enough space ckujali sn ilinipa alert mara kadhaa kwamba nodelete file hard disk space oa minimum sikujali sasa leo nawasha pc kila nikiandika password hailogin yaan nimewasha nimezima inagoma nifanyeje microsoft mbona mnajishushia heshima yenu computer zote ofisin ni microsoft leo hii microspft inageuka kituko kwa kufuta data ambazo ni specific kwa uaee kulogin ni bpra hata mfute movie lkn sio data saaaapa nawaza nifanyeje wadau kuhusu reset password sikuset kwenye cd wala flash nifanyeje wadau au ndio nianze na moja nichomoe hard disk nitoe data zangu niingize window upya

Natanguliza shukran za dhat
Kwanza nikushangar kutumia password moja kila sehemu, ni uzembe wa hali ya juu. Pili, yaani wewe mtu mmoja kukosea password yako ndio useme Microsoft wanajishushia heshima, how??
 
Kma umelogin Microsoft Account na mwanzo ulikua na Local account yenye password tofauti na MS Account huwa mda mwingine inakudai Password ya local account au vice versa ikiona kuna mafile yamekuwa altered.

Jaribu password ya MS Account or jaribu password ya local account uliyowekaga zamani. Moja wapo kati ya hzo zitafanya kazi.
 
Habar wadau!

Leo nimepata tatizo ambalo sijawah kutana nalo before naomba niweke wazi mm nina password moja tu na ndio io io nalogin kwenye account zangu zote sasa mara ya mwisho nilikuwa nado2nload movie computer ikawa inanipa alert not enough space ckujali sana ilinipa alert mara kadhaa kwamba nodelete file hard disk space oa minimum sikujali.

Sasa leo nawasha pc kila nikiandika password hailogin yaan nimewasha nimezima inagoma nifanyeje microsoft mbona mnajishushia heshima yenu computer zote ofisin ni microsoft leo hii microspft inageuka kituko kwa kufuta data ambazo ni specific kwa uaee kulogin ni bpra hata mfute movie lakini sio data saaaapa nawaza nifanyeje wadau kuhusu reset password sikuset kwenye cd wala flash nifanyeje wadau au ndio nianze na moja nichomoe hard disk nitoe data zangu niingize window upya.

Natanguliza shukran za dhati.

Kuna mwanangu mmoja nae anasema hivyo hivyo analogin in...na password yake inakataa i was like wtf haiwezekan hiyo inatokeaje naona na ww unalalmika so naweza nkaanza amin
 
Habar wadau!

Leo nimepata tatizo ambalo sijawah kutana nalo before naomba niweke wazi mm nina password moja tu na ndio io io nalogin kwenye account zangu zote sasa mara ya mwisho nilikuwa nado2nload movie computer ikawa inanipa alert not enough space ckujali sana ilinipa alert mara kadhaa kwamba nodelete file hard disk space oa minimum sikujali.

Sasa leo nawasha pc kila nikiandika password hailogin yaan nimewasha nimezima inagoma nifanyeje microsoft mbona mnajishushia heshima yenu computer zote ofisin ni microsoft leo hii microspft inageuka kituko kwa kufuta data ambazo ni specific kwa uaee kulogin ni bpra hata mfute movie lakini sio data saaaapa nawaza nifanyeje wadau kuhusu reset password sikuset kwenye cd wala flash nifanyeje wadau au ndio nianze na moja nichomoe hard disk nitoe data zangu niingize window upya.

Natanguliza shukran za dhati.
Yawezekana setup ya keyborad yako imebadilika.. password yako ilikua ina symbols labda zimebadilika. Au keyborad yako imepata matatizo...
Jaribu kulogin kwa kutumia onscreen keyboard...au caps au account unayologin sio yenyewe...hamna mchawi hapo
 
Caps lock or keyboard type. Hivi vitu viwili vinaweza kuwa ndio changamoto kwako, wala sio microsoft
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom