Habar wadau!
Leo nimepata tatizo ambalo sijawah kutana nalo before naomba niweke wazi mm nina password moja tu na ndio io io nalogin kwenye account zangu zote sasa mara ya mwisho nilikuwa nado2nload movie computer ikawa inanipa alert not enough space ckujali sana ilinipa alert mara kadhaa kwamba nodelete file hard disk space oa minimum sikujali.
Sasa leo nawasha pc kila nikiandika password hailogin yaan nimewasha nimezima inagoma nifanyeje microsoft mbona mnajishushia heshima yenu computer zote ofisin ni microsoft leo hii microspft inageuka kituko kwa kufuta data ambazo ni specific kwa uaee kulogin ni bpra hata mfute movie lakini sio data saaaapa nawaza nifanyeje wadau kuhusu reset password sikuset kwenye cd wala flash nifanyeje wadau au ndio nianze na moja nichomoe hard disk nitoe data zangu niingize window upya.
Natanguliza shukran za dhati.