johntemba Member Oct 14, 2011 27 1 Jun 15, 2013 #1 nisaidieni jinsi ya kuchec group policy kwenye window 8 maana najarib inagoma!!! cmd>gpedit
N Nyasiro JF-Expert Member Feb 20, 2012 1,200 551 Jun 15, 2013 #2 imegoma bila error message yoyote au imegomaje? jaribu kutumia RUN command: gpedit.msc kama ikishindikana kutakuwa kuna tatizo katika installation yako ya windows.
imegoma bila error message yoyote au imegomaje? jaribu kutumia RUN command: gpedit.msc kama ikishindikana kutakuwa kuna tatizo katika installation yako ya windows.
johntemba Member Oct 14, 2011 27 1 Jun 18, 2013 Thread starter #3 hata hiyo yenyewe haifanyi kazi!! is not recognized as an internal or external command