Windeck! Windeck! Windeck!

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Jambo Wadau!
Kwa yeyote anayefahamu. Huyu kijana Cabo Snoop (aliyeimba wimbo 'windeck' unaotamba hivi sasa) ni raia wa nchi gani? Au ni kikundi cha wanamuziki wa nchi gani? Nawasilisha!
 
dah! Umenikumbusha wezzal wa BBA from angola,namzimia sana huyo binti.....
 
Wengine Jua, wengine Mvua! Mbona mnanichanganyaaaaa? Aaaarrgh!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom