wimbo wa Yanga Africa wa pepe kale unaniuzi kishenzi

ukiusikiliza vizuri ule wimbo utamsikia hayati Pepe Kalle anamtaja Barantanda kisha mwishoni mwishoni anamtaja nguli Gang Chomba....

Hah hah hah haaaaah Iko siku watanzania wooote wataishabikia Yanga
 
Yanga kachukua kombe la CECAFA mara 2 nje ya nchi na mara 3 hapa TZ, Simba kachukua mara 6 hapa TZ, hajawahi kuchukua nje ya nchi, shame to you guy!, tafakari mwenyewe nani mkali wa kubebwa!
 
Huu wimbo wa yanga africa ulioimbwa na pepe kale, mimi siupendi yaani uaniuzi kishenzi.

Na sasa kuanzia jana nasikia unapigwa sana kwenye radio mbalimbali sijui sbabu yake nini. Wimbo mbovu sana huu

Sababu hii hapa: YANGA NI BINGWA WA MABINGWA kama akina Simba na wengineo Afrika mashariki na kati.
 
yanga walibebwa kwa mbeleko kuingia fainali.Lile bao katika muda wanyongeza halikuwa halali! Ila nikawaida yao kubebwa,tunakumbuka mwakajana ilikuwa hivyo hadi wakafika fainali. Niwakati wa cecafa kuhamishia mashindano nchi nyingine ili tuone huo uwezo wa yanga.Tumechoka makombe yakubebwa.
Hivi kuna siku inapita bila wewe kulia-lia kama bibi kizee??


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
huo wimbo naufungulia kesi mahakamani Kisutu, hautapigwa tena. Wimbo una makosa mengi tu - aliyeimba hayupo, aliyeimbwa hayupo, ni wimbo batili. So, mahakama iamue uhalali wake.
Siku hizi ukitaka kuzima ishu peleka kwa pilato fasta.
 
yanga walibebwa kwa mbeleko kuingia fainali.Lile bao katika muda wanyongeza halikuwa halali! Ila nikawaida yao kubebwa,tunakumbuka mwakajana ilikuwa hivyo hadi wakafika fainali. Niwakati wa cecafa kuhamishia mashindano nchi nyingine ili tuone huo uwezo wa yanga.Tumechoka makombe yakubebwa.

Kwa taarifa yako ukilinganisha na Simba Yanga ndo yenye record nzuri ya kuchukua hili kombe nje ya Tanzania
 
Ha Ha Ha.. Poleni Wote wanaokerwa na wimbo pamoja na ushindi wa Yanga. Askari Kanzu na wewe acha fujo ..umeamua kushindilia msumari kabisaaa?!! :smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom