Wimbo wa Wagosi wa Kaya (piga bao) kufungiwa

Kuna sehemu yanasema;
unapokuwa na mke hakikisha unasimamisha kisawasawa (misimamo yako)
halafu kama sikosei walinichoshwa walivyosema muwe mnanyonyana, usimnyonye mwenzako (wakati mmetafuta pamoja!)
 
I tried to listen to this song in YouTube, i find it okay......we are not same in thinking, kuufungia ni kubinya mitazamo tofauti kwenye jamii, and off course utakuwa ni unafiki sana kuufungia maana jamii yetu inapenda ngono saaana sanaaa yani sana, maadili ya mtanzania ni kutokusema tu kwenye radio au tv but mswahili ni mtu wa bush, polygamy in nature.
 
Mvivu wa kufikiri ndo anaweza akaunga mkono wimbo wa BAO kufungiwa. Wimbo unahamasisha UPENDO & MAENDELEO ya kifamilia.Tafuta huo wimbo uusikilize siyo kusimuliwa ndo utoe hukumu.

We ndo hodari wa kufikiri ila sie wavivu??
 
Hahahah nyimbo kali sana sema mind yako ikikaa negative basi lazima utauona haufai, lakin naona heading ni tetesi na haijathibitishwa rasmi.

hata walipoimba Nyeti..kuna watu walikuwa na mawazo kama hayo!! Negative mind!!
 
Ufungiwe..mizee mizima imekosa vya kuimba wanatafuta kick za kurudi ......wkt wao ushapita
 
Wakiufungia huo wimbo waufungulie ule wimbo wa SALIMA alioimba Babu Seya!
 
Ufungiwe..mizee mizima imekosa vya kuimba wanatafuta kick za kurudi ......wkt wao ushapita

Hapa mashabiki wa Chadema na VINEGA kwa ujumla hawatakuelewa. Kwao matusi ni kama chakula. Hawawezi kuona kasoro wala upuuzi ulioimbwa,wanaona uko poa tu..... hahaha waswahili wa pemba utawajua kwa vilemba.
 
This apparent grotesque and unmitigated attack on artistic license, freedom of expression and heterodox multiplicity must be vehemently and consistently condemned by all right thinking and liberty loving people.

There is a precedent setting slippery slope that knows no bounds buried in the garb of pious custodianism and puritanic traditions in this sorry excuse of a culture.

To be fair, the song could be categorized as being in bad taste by some highfalutin harbingers of hallowed hyprocisy, but that does not warrant a wanton wacking devoid of any deep deliberation and principled restrain geared at avoiding unintended consequences and tyrannical tirades if not draconian decrees.

It is for the love of exactitude exceedingly over the mere realm of verisimilitude I divorce this move from justice and denounce its ignoble basis and vacuous pretentiousness as a nihilistic attempt at giving complex questions easy solutions.

Wagosi must be allowed to exercise their right to freedom of expression and artistic license.

What really needs checking is the level of education of the orangutang Ottomanlike ombudsman who came up with this oppressive obstinate condencesion.

This unfortunate move will only aid to bolster the popularity of that already waning song.
 
Kama kawaida,,wengi hatujaelewa hapa,japo wengi watajifanya wameewa. Tehe tehe
 
Mbona vitu fulani vya kawaida sana kama unasoma The Economist, Foreign Affairs, Foreign Policy, The New Yorker, Time, The New York Times, The Wall Street Journal, The Washington Post, Africa Confidential, The Guardian, The Times, or even Newsweek.

Nimejaribu kujishughulisha kusoma magazeti kama haya tangu niko form one, in 1990.

Na kuandika mashairi Sunday News tangu angalau mwaka huo. Inspired by the likes of Agoro Anduru.

Its a matter of interest, access and natural talent.

To the rightly inclined, I am rather wanting.
 
Mbona vitu fulani vya kawaida sana kama unasoma The Economist, Foreign Affairs, Foreign Policy, The New Yorker, Time, The New York Times, The Wall Street Journal, The Washington Post, Africa Confidential, The Guardian, The Times, or even Newsweek.

Nimejaribu kujishughulisha kusoma magazeti kama haya tangu niko form one, in 1990.

Na kuandika mashairi Sunday News tangu angalau mwaka huo. Inspired by the likes if Agoro Anduru.

Its a matter of interest, access and natural talent.

To the rightly inclined, I am rather wanting.

Sawa mkubwa Kiranga nakubali.
 
nilikua hata siwajui hao wagosi wa kaya leo ndo nimeuoana

na kuwaona hao jamaaa
Acha tu wimbo ufungiwe aisee iwez kuusikiliza na mtoto
 
ukiwa na mkeo inatakiwa umuingizie mpaka iingiieee! hiyo misimamo yako.
 
Unampanua palee'(kimawazoo),unaingiza pale taratiiiiibu(maneno yenye hekima),unamtia pale(unamtia moyo) Mwisho kabisa yaani unammwagia(unamwagia sifa kwa jinsi alivyoumbika) Hahahaa hawa majamaa machizi kweli…

Uko na mkeo unaanza kumnyonya.. utamnyonya vipi wakati mali mmechuma wote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom