wimbo wa uefa champions league | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wimbo wa uefa champions league

Discussion in 'Sports' started by maishapopote, Mar 19, 2010.

 1. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  jaman wadau naomba mnifahamishe ule wimbo unakuwaga kama soundtrack au backvocal? kwenye mashindano ya uefa champions league ni wa nani umetungwa na nai na unaimbwa lugha gani..nimejaribu kutafuta kutokea mwaka 2001 bado sijafaham najua hapa jf kuna wataalam naomba wanisaidie kwenye hili please... nilidhani ni wa freddy mercury yule mzanzibar wa queens lakin sio
   
 2. RR

  RR JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mkuu hebu cheki [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/UEFA_anthem"]http://en.wikipedia.org/wiki/UEFA_anthem[/ame]
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  weeeee aarre theeeeee chaaaaamps....!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli
   
 6. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #6
  Mar 19, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  sante mkuu
   
 7. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Wimbo umetungwa na Tony Britten mwaka 1992 na kile kipande unachokisikia wakati wa mechi(chorus) kimeimbwa na kundi la Academy of St. Martin in the Fields la Uingereza...

  Wimbo umeimbwa katika lugha 3 zinazotambuliwa na UEFA(Official languages) ambazo ni Kifaransa,Kijerumani na Kiingereza....Mashairi ya wimbo wenyewe ni haya hapa chini

  Ce sont les meilleures équipes
  Es sind die allerbesten Mannschaften
  The main event
  Die Meister
  Die Besten
  Les grandes équipes
  The champions!
  Une grande réunion
  Eine grosse sportliche Veranstaltung
  The main event
  Ils sont les meilleurs
  Sie sind die besten
  These are the champions
  Die Meister
  Die Besten
  Les grandes équipes
  The champions!


  Hapo kwenye bold ndo kipande kinachoimbwa kabla na baada ya mechi na pia wakati wa TV Commercials
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  SHEMEJI YETU UPO DIIP kweli kweli!unadizeevu dadaetu!wowa shem wowa!

  MACHANGO WANGU NI SH 50,000.00

  muhasibu atakuwa nan?
   
 9. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Teh teh...Nawowa aisee...Mhasibu atakuwa Masaki...Wewe Mwenyekiti
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  WOWA shemeji WOWAA!kama mimi ni mwenyekiti nitaongeza pledge!ila huyo mhasibu huyo........!anyways
   
 11. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Nawowa shemeji nawowa!...Nafurahi kusikia utaongeza ahadi...Mhasibu nina imani naye kwa kweli
   
 12. senator

  senator JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kumbee ndo maana tunaambulia maneno haya mawili tu!! kwingine kote ni kumumunya maneno tu
   
 13. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Pia haka kawimbo mara ya kwanza kukadaunlodi nikajua nimeingia chaka...coz kwa jinsi unavyoanza huwezi kuuzania kama ndo ule ambao unawapaga watu jambajamba wanapousikiaga.

  Barantanda kasahau kueleza kitu cha Muhimu ktk ule wimbo.
  Amesahau kuwajulisha wazalendo kuwa wimbo ule upo ktk mahadhi ya Pop, chakacha, country, jazz, yenu, nk nk nk nk...

  Ok wimbo ule uko katika mahadhi ya Opera.
  Opera ni aina za nyimbo zinazoaminika kuwa ndo nyimbo ngumu zaidi kuimba.
  Na mfalme wa nyimbo hizo ni Hayati Luciano Pavarotti.

  Watu wa soka weeengi ulimwenguni wamezoea kuuita wimbo ule kuwa ni wimbo wa AC Milam.

  Coz inaaminika kuwa kabla ya mechi kuanza timu zinapokuwa zinatoka vyumbani na kwenda kujipanga uwanjani wachezaji wa Milan enzi hizo wakiongozwa na Paolo Maldini, seedorf, pirlo, cafu, stam, ambrosini, rui costa, pippo the poucher, shevchenko, gattuso na dida basi inakuwa kama vile wanapigiwa wao yani.

  Pia napenda kuliweka wazi hili kuwa msimu huu wa ligi ya serie A ni wazi kuwa AC Milan haikuanza vizuri.

  Na ktk hili makamu wa rais wa klabu hii muheshimiwa Adriano Galliani alikuwa anaingia na redio kwenye chumba cha mapumziko ktkt ya mechi huku redio ikipiga wimbo huu.

  yeye aliamini kuwa AC huwa wako makini sana ktk mashindano ya ulaya. So wanapousikia wimbo huo ni wazi kuwa watakuwa makini na katika hilo mzee huyu alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kuamsha morari ya timu.

  Kisha baada ya kukaa sawa aliachana na mbinu ile.

  Forza Milan...
   
 14. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #14
  Mar 22, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  kaka sante kaka sasa nimeona kwanini ninaupenda kupita kiasi hata mm ninao huo wimbo mara ya kwanza nikaona sio wenyewe lkn ndo hivyo huwa naupenda sana
   
Loading...