mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Hahah kwani mkuu ulitaka waishije?Amini nakwambia kwa jinsi inchi ilivyo ya ajabu hii huo wimbo tazama inchi mzuri na Tanzania Tanzania watunzi wake watakuwa hawajulikani na kama wapo basi wapo uko wanaishi maisha ya dhiki kupita maelezo Amini nakwambia
Mkuu wa Majeshi mstaafu ndg. Sarakikya mwenyewe analalamika kulipwa pensheni ya elfu 50 kwa mwezi,je hao waimbaji watakua na hali gani?hahah