wimbo wa taifa na clouds fm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wimbo wa taifa na clouds fm

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by I-NGOSHA, Dec 21, 2011.

 1. I-NGOSHA

  I-NGOSHA Senior Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Clouds fm wameuwekea swagger wimbo wetu wa taifa, hivi wamepewa mamlaka na nani au mtu yeyote ana ruhusa ya kuufanya atakavyo. Maana walivyo ufanya sasa ukipigwa huwezi kusimama wima lazima utachezesha kichwaa, au mikono au mguu!!!
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,909
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Ni "REMIX"
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,537
  Likes Received: 1,435
  Trophy Points: 280
 4. g

  guccio Senior Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtakufa mapema kama evrythng mnachukulia kwa akil hizo za kmgando...
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,118
  Likes Received: 3,966
  Trophy Points: 280
  :lol: wimbo wa taifa kwa mtindo huu niliousikia,
  nakubali kuwa dhamani yake imekwisha. :eyebrows:
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  zamani hata ukikutwa na bendera ilikuwa kesi lakini sasa hivi hata kama unamlegezo unaingia ikulu kupiga chata

  POLENI WOTE MLIOPATWA NA MAFURIKO..
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,161
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa alifunguliwa kesi ya jinsi kwa kukanyaga Katib hawa wameufanyia aldulteration hakuna anayewakataza. Kuna mwingine alipaka helkopta yake rangi za bendera ya taifa ikawa kelele toka serikalini Huyu bwana serikali inakenua tu.

  Kwa nini?????"????
   
Loading...