Wimbo wa taifa la Kenya

I have seen our national anthem is a hit globally.Hata watoto wamarekani na britain hujifunza wimbo huu kwenye choir zao.

Ilhali youtuber mmoja anaitwa J.J. McCullogh amerank ya Tanzania among the wierdest national anthems.



And then listen to Mani (A Kenyan indian) singin our national anthem.


The Kenyan national anthem is a masterpiece, melody and tune A1, words on point and the instrumental priceless. Nakumbuka dunia ilipopagawa na wimbo wa taifa la Kenya kwenye closing ceremony ya Rio Olympics 2016 kule Brazil. Soma comment zao kutoka twitter, kuna wale ambao walilia na kujivunia na hata hawakuwa wakenya. The world fell in love with Kenya’s national anthem and we didn’t notice
 
colony,

Kwa hivyo unadharau silaha asili za Mwafrika? Ngao na Mkuki zilikuwa ndizo silaha zetu kama waafrika. Kuanzia Shaka Zulu hadi Wamaasai na makabila mengine mengi. Pengine ungependa tubadilishe tuweke bunduki na bomu ambazo ni silaha za mzungu?
 
Sounds good but not original ....SA and Zambia share the same

budaa hujui hata tukiwaambia tuna uhusiano na hao watu huwa mnakuwa wakali sana.

angalia bendera pia zina mfanano sio bahati mbaya.ndio sababu huwezikuta tunavutana mashati mpaka asubuhi kukuche bado tumenuniana.
 
Wimbo wenyewe unaitwa Jambo, ni wa Ziggy Marley ft. Angelique Kidjo na umeandikwa na mkenya Samuel Kalonje. I always like the Jamaica-Kenya reggae connection.

Wow, I am impressed given that both of them are not Kenyans. Pingli do you know who sang the original song?
 
Wewe si unyamaze tu ufiche upumbavu wako, Tanzania iliyopata uhuru 1960 ichukue wimbo wa mataifa yaliyopata uhuru 1980s and 1990s?
'Nkosi sikelel iAfrika' wimbo ambao mlichukua 'tune' yake na kuitumia kwenye wimbo wenu wa taifa. Uliandikwa mwaka wa 1897 na Enock Sontoga mxhosa kutoka kule Jo'burg, S.A.
 
Back
Top Bottom