Wimbo wa Nay wa Mitego wazuiwa na BASATA

Wala hauna ubaya wowote nimeulisikiliza.... Sema watu wenye itikadi za mwendazake wana nongwa tu

Sijui kwann bado watu hawaamini kama Shujaa kaondoka na hatorudi, nimeona wengine wamefinga safari kwenda kuhiji kaburi!
 
Usikute alikuwa kaimba kuwa mama ni raisi ila anapakiwa mkongo.Hivi mnamjua Ney wa mitego wewe.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Hajaimba hvyo hata kidogo wimbo nimeutazama kwa kigog hauna tofauti sana na Rapcha. Na wala hakumtaja jina yani ni kama anamwimbia mama yake awe makini na akina baba mdogo hakuna matusi kabsa
 
Hii ndio barua inatozuia wimbo mpya wa Nay wa Mitego ujulikano kama mama. Ameambiwa asiupeleke kwenye vyombo vya habari.
View attachment 1773435

Wewe ukiwa kama mdau wa sanaa una neno gani kwa BASATA?
Kwenye wimbo wa Nay kuna mstari unaosema:
Mama, Halima katengwa na wanaukoo, kwanini sasa ashiriki vikao va maendeleo ya ukoo na wewe umenyamazaa?
 
Back
Top Bottom