Wimbo wa 'Mkono wa Eid' - Salum Abdallah na Cuban Marimba Chacha Band

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,788
30,084
SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND NYIMBO ''MKONO WA EID''

Sikumbuki ilikuwa kitu gani lakini ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa likizo Tabora niko uani na bibi yangu Zena bint Farijala mwaka wa 1965 na ni muda mfupi toka Salum Abdallah amefariki.

Nadhani ilipigwa nyimbo ya Salum Abdallah katika radio bibi akaniona nimeifurahia ile nyimbo ndipo akaniambia, ''Salum Abdallah alikuwa rafiki sana ya baba yako. Akija Tabora na bendi yake lazima aje hapa nyumbani kumsalimu baba yako.''

Bila shaka hii ilikuwa katika miaka ya 1950 wakati Salum Abdallah anaanza muziki wake.

Siku moja nilimuona Salum Abdallah Mtaa wa Stanley na Nyamwezi, mbele ni Mtaa wa Swahili.

Hapo ndipo ilipokuwapo Cuban Marimba Chacha Band Branch.

Nimemkuta Salum Abdallah amekaa ndani na mwenzake, Salum Abdallah kashika guitar anapiga.
Yule mwenzake aliyekuwanae pale jina lake anaitwa Almasi maana nilimsikia Salum Abdallah akimwita kwa jina hilo.

Ilikuwa mwaka wa 1964.
Sikunyanyua mguu.

Nilibakia pale nimesimama nasiikiliza muziki waliokuwa wakipiga.

Mwaka uliofuatia Salum Abdallah akafariki.

Salum Abdallah kwa sisi tuliozaliwa katika miaka ya 1950 tunamkumbuka kwa nyimbo ya ''Mkono wa Eid.''

Miaka ili ilikuwa baada ya tangazo la radio la kuandama mwezi likitanguliwa na takbira mwanzo na mwisho kinachofuatia ni nyimbo ya Salum Abdallah, ''Mkono wa Eid.''

Ikiwa umepata kusikia muziki wa Septet Habanero bendi iliyokuwa maarufu sana Cuba na muziki wake ukipigwa katika Sauti ya Dar es Salaam katika miaka ya 1950 utangazaji wa radio ulipoanza, utagundua kuwa upigaji ala wa Cuban Marimba na uimbaji wa Salum Abdallah na uitikiaji wa ''chorus,'' vimeshabihiana sana.

Nyimbo inaanza kwa trumpet ambayo imetiwa ''mute,'' ili itoke sauti kali nyembamba iliyojaa ''treble.''

Salum Abdallah anaingia kuimba kisha anafuatiwa na waitikiaji.

Marehemu mama yake Salum Abdallah alikuwa kila inapofika Eid na kumsikia mwanae akiimba nyimbo hii alikuwa akilia.

Allah awarehemu wote.
Amin.

1620940402411.png
 
View attachment 1783823
 
Nikajua huyo ni mzee wako.hivi mzee wako nae si aliitwa salum abdallah.umenikumbusha juma kilaza
 
Kumbe wewe Mohamed Said ni mtu wa nyumbani huko Tabora kaka? Sehemu ipi ya kwenu, kwangu mimi hasa kwetu ni Isevya, ila nilitumia maisha yangu zaidi sehemu za Kiloleni kabla ya kuanza kuhamahama nchi kufuatia wazazi wangu kuwa wanahamihamishwa kikazi. Baadaye sekondari nikiwa form two nilirudi Tabora.
 
Kichuguu,
Mtaa wa Kanoni Isevya, No. 18.

Tuna nyumba mbili pale nyingine ipo Kachoma.

Babu yangu alikuwa mtu maarufu sana akifahamika mji mzima.
 
Kichuguu,
I've ya Mtaa wa Kanoni No. 18.

Tuna nyumba mbili pale nyingine ipo Kachoma.

Babu yangu alikuwa mtu maarufu sana akifahamika mji mzima.
Sawa homeboy. Nyumba yetu kule Isevya ilikuwa ya kubabaisha na ilishabomolewa siku nyingi, lakini bado tuna nyumba ya Mzee kule Kiloleni ingawa mimi za kwangu ziko Dar na Mwanza tu hasa kwa vile maisha yangu ya utu uzima niliyatumia sana katika miji hiyo. Mwaka 2010 nilienda kupiga kura, nikapigia Isevya ambako ndiko nilikuwa nimejiandikisha. Nakumbuka siku za nyuma tuliwahi kuwa na mjadala kuhusu Advocate Kwikima; kumbe inawezekana ulikuwa pia unajuana naye kutoka home kama ambayo na mimi nilivyokuwa najuana naye.
 
SALUM ABDALLAH NA CUBAN MARIMBA CHACHA BAND NYIMBO ''MKONO WA EID''

Sikumbuki ilikuwa kitu gani lakini ninachokumbuka ni kuwa nilikuwa likizo Tabora niko uani na bibi yangu Zena bint Farijala mwaka wa 1965 na ni muda mfupi toka Salum Abdallah amefariki.

Nadhani ilipigwa nyimbo ya Salum Abdallah katika radio bibi akaniona nimeifurahia ile nyimbo ndipo akaniambia, ''Salum Abdallah alikuwa rafiki sana ya baba yako. Akija Tabora na bendi yake lazima aje hapa nyumbani kumsalimu baba yako.''

Bila shaka hii ilikuwa katika miaka ya 1950 wakati Salum Abdallah anaanza muziki wake.

Siku moja nilimuona Salum Abdallah Mtaa wa Stanley na Nyamwezi, mbele ni Mtaa wa Swahili.

Hapo ndipo ilipokuwapo Cuban Marimba Chacha Band Branch.

Nimemkuta Salum Abdallah amekaa ndani na mwenzake, Salum Abdallah kashika guitar anapiga.
Yule mwenzake aliyekuwanae pale jina lake anaitwa Almasi maana nilimsikia Salum Abdallah akimwita kwa jina hilo.

Ilikuwa mwaka wa 1964.
Sikunyanyua mguu.

Nilibakia pale nimesimama nasiikiliza muziki waliokuwa wakipiga.

Mwaka uliofuatia Salum Abdallah akafariki.

Salum Abdallah kwa sisi tuliozaliwa katika miaka ya 1950 tunamkumbuka kwa nyimbo ya ''Mkono wa Eid.''

Miaka ili ilikuwa baada ya tangazo la radio la kuandama mwezi likitanguliwa na takbira mwanzo na mwisho kinachofuatia ni nyimbo ya Salum Abdallah, ''Mkono wa Eid.''

Ikiwa umepata kusikia muziki wa Septet Habanero bendi iliyokuwa maarufu sana Cuba na muziki wake ukipigwa katika Sauti ya Dar es Salaam katika miaka ya 1950 utangazaji wa radio ulipoanza, utagundua kuwa upigaji ala wa Cuban Marimba na uimbaji wa Salum Abdallah na uitikiaji wa ''chorus,'' vimeshabihiana sana.

Nyimbo inaanza kwa trumpet ambayo imetiwa ''mute,'' ili itoke sauti kali nyembamba iliyojaa ''treble.''

Salum Abdallah anaingia kuimba kisha anafuatiwa na waitikiaji.

Marehemu mama yake Salum Abdallah alikuwa kila inapofika Eid na kumsikia mwanae akiimba nyimbo hii alikuwa akilia.

Allah awarehemu wote.
Amin.

View attachment 1783823

Wimbo huu ulipigwa kila sikukuu ya iddi.
 
Sawa homeboy. Nyumba yetu kule Isevya ilikuwa ya kubabaisha na ilishabomolewa siku nyingi, lakini bado tuna nyumba ya Mzee kule Kiloleni ingawa mimi za kwangu ziko Dar na Mwanza tu hasa kwa vile maisha yangu ya utu uzima niliyatumia sana katika miji hiyo. Mwaka 2010 nilienda kupiga kura, nikapigia Isevya ambako ndiko nilikuwa nimejiandikisha. Nakumbuka siku za nyuma tuliwahi kuwa na mjadala kuhusu Advocate Kwikima; kumbe inawezekana ulikuwa pia unajuana naye kutoka home kama ambayo na mimi nilivyokuwa najuana naye.
Kichuguu,
Wiki moja kabla ya Jaji Kwikima hajafariki alikuja nyumbani kunitembelea.

Alikuwa mzungumzaji wangu sana.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom