Wimbo wa lawino

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Natauta nakala ya kitabu WIMBO WA LAWINO (nakala ya kiswahili).
Mwandishi ni OKOT P' BITEK.
Naomba yeyeyote atakayeweza kunijulisha namana nitakavyo pata nakala hiyo.
 
hongera kwa kuibua hisia za kusoma. kwani watz (including me) hatuna utamaduni wa kujisomea (labda habari za udaku)
 
unless nimechanganya madawa,au kumbukumbu yangu inani betray ni afadhali habari za udaku kuliko hiki kitabu
 
Natafuta nakala ya kitabu WIMBO WA LAWINO (nakala ya kiswahili).
Mwandishi ni OKOT P' BITEK.
Naomba yeyeyote atakayeweza kunijulisha namana nitakavyo pata nakala hiyo.
Mkuu,ninachojua na ninachofikiri kuwa wewe nawe unajua ni kuwa kitabu hicho okot alikitoa kwa kiingereza.Baadaye ikaja kuongezwa sehemu ya pili ya song of Okolo. Publisher walikitoa hicho cha piliyaani Song of Lawino and song of Okolo wakati huyo mtunzi kesha fariki. Sasa kujua kama kuna nakala ya Kiswahili naomba uwasiliane na ama publisher wa hicho cha kwanza au hicho cha pili. Nakala za hivyo vya kiingereza zinapatikana ktk libraries za mikoa.
 
masahihisho madogo ni "Song of Ocol" na si "Song of Okolo", hiki Song of Lawino kilikuwa published mara ya kwanza mwaka 1966, na Song of Ocol mwaka 1967.
 
Nakumbuka kuisoma hyo version ya kiswahili...Wayback!
Kwa msaada tu nadhan unaweza ukawasiliana na Taasisi ya Ukuzaji Kiswahili(TUKI??) wapo pale udsm.Wana hazina kubwa tu ya vitabu na majarida ya kiswahili.No wonder wakikwambia kuwa they have only the hard copies!
 
Duuuuuuuuuuuuuuuu hii thredi imenikumbusha mbali sana. Enzi zile za The River Between, No Longer At Ease, Song of Lawino, Kuli, etc. Mwaka 47.
 
Nakumbuka kuisoma hyo version ya kiswahili...Wayback!
Kwa msaada tu nadhan unaweza ukawasiliana na Taasisi ya Ukuzaji Kiswahili(TUKI??) wapo pale udsm.Wana hazina kubwa tu ya vitabu na majarida ya kiswahili.No wonder wakikwambia kuwa they have only the hard copies!

Asante mwakyJ kwa maelekezo.
 
Back
Top Bottom