Wimbo wa lady jay dee yahaya unawasema ruge mutahaba au kusaga?

Status
Not open for further replies.

satellite

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
616
164
Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu tangu niusikie wimbo wa YAHAYA wa mwanadada Lady Jay Dee nikaona kama ndo mwendelezo wa lile bifu lake na clouds FM husuani walengwa wakiwa Kusaga na Ruge Mutahaba,pia nimeusikiliza wimbo wa JOTO HASIRA akimshikilisha msolapa ganzi Prof JAY kama nao unamawe yakielekezwa clouds,kiujumla wimbo huwa unakua na fasihi ambayo ni ngumu kujua nani mlengwa ila kwa mujimu wa Jay day anasema nyimbo zote ni kweli tupu hakuna fasihi au hadithi ameimba matukio yaliyotea katika maisha yake.Huu ni mtizamo wangu tu
 
samahani kama ntakukosea elimu yako ya mwisho ni ipi??ulishawahi kufaulu kama jamaa zetu wa form 4 kupitia masamaha wa serikali??
 
kwann wewe umeutafsiri hivyo??
basi naweza kusmea kusema kwamba kwako wewe taarab utazitafsiri kwa namna ya ajabu sana.

hebu niambie wimbo kama ""kinyago ch mpapure'' utautafsirije, 'ama nimempata wangu fundi??
 
Kuna watu wanajiita ma Dr. kama akina Nchimbi, hao ndio mtasema wana elimu kubwa? Mpeni tu jibu kama nanyi mna hisia kama zake kuhusu hizo nyimbo ama la...hususan kama mmezisikia...
 
Chorus:
Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

VERSE 1:
Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani
Anakula ofa za watu, Anapoishi hata hapajulikani
Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
Anavyozuga, anavyopita
Si umdhaniae
Na hafananii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Longo longo nyingi

Rudia Chorus:

VERSE 2
Kwa story za vilingeni, Utafikiri kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati, Anasema anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa Taifa, Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Ooooh Yahaya

Rudia Chorus:

Mara anasema usalama wa Taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Uso mdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa

Chorus:
Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
MWISHO
 
Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu tangu niusikie wimbo wa YAHAYA wa mwanadada Lady Jay Dee nikaona kama ndo mwendelezo wa lile bifu lake na clouds FM husuani walengwa wakiwa Kusaga na Ruge Mutahaba,pia nimeusikiliza wimbo wa JOTO HASIRA akimshikilisha msolapa ganzi Prof JAY kama nao unamawe yakielekezwa clouds,kiujumla wimbo huwa unakua na fasihi ambayo ni ngumu kujua nani mlengwa ila kwa mujimu wa Jay day anasema nyimbo zote ni kweli tupu hakuna fasihi au hadithi ameimba matukio yaliyotea katika maisha yake.Huu ni mtizamo wangu tu

Chorus:
Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

VERSE 1:
Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani
Anakula ofa za watu, Anapoishi hata hapajulikani
Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
Anavyozuga, anavyopita
Si umdhaniae
Na hafananii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Longo longo nyingi

Rudia Chorus:

VERSE 2
Kwa story za vilingeni, Utafikiri kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati, Anasema anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa Taifa, Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae
Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa
Ooooh Yahaya

Rudia Chorus:

Mara anasema usalama wa Taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Uso mdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata
Kumbe hana helaa

Chorus:
Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
MWISHO
 
samahani kama ntakukosea elimu yako ya mwisho ni ipi??ulishawahi kufaulu kama jamaa zetu wa form 4 kupitia masamaha wa serikali??

Busara sio lazima uwe msomi ! Ukihoji elimu ya wale wasiosoma Ina Maana unawanyanyapaa wakulima na watanzania wote ambao hawakubahatika kupata taaluma yeyote japo kuna Wasomi ni wajinga kuliko hata asiyesoma wapo matajiri wengi si wasomi lakini wana maarifa na wapo wasomi lakini ni masikini wakubwa
 
Huu wimbo Sidhani Kama unawahusu clouds labda unamlenga mwana FA kimtindo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom