satellite
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 616
- 164
Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu tangu niusikie wimbo wa YAHAYA wa mwanadada Lady Jay Dee nikaona kama ndo mwendelezo wa lile bifu lake na clouds FM husuani walengwa wakiwa Kusaga na Ruge Mutahaba,pia nimeusikiliza wimbo wa JOTO HASIRA akimshikilisha msolapa ganzi Prof JAY kama nao unamawe yakielekezwa clouds,kiujumla wimbo huwa unakua na fasihi ambayo ni ngumu kujua nani mlengwa ila kwa mujimu wa Jay day anasema nyimbo zote ni kweli tupu hakuna fasihi au hadithi ameimba matukio yaliyotea katika maisha yake.Huu ni mtizamo wangu tu