hiram
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 266
- 393
Wimbo wa Yanga ulioimbwa na Harmonize umeushusha wimbo wa Simba na kuwa Number One trending kwenye youtube; hata hivyo Mondi hajakubali na hivyo amelipia post ya facebook (sponsored) ili kuutangaza wimbo wake wa Simba na pengine aweze kumpiku tena Konde Boy