Wimbo wa haleluya

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=nnHksDFHTQI"]YouTube- Handel - Hallelujah[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=Up3TIPoVh-M"]YouTube- Hallelujah, by Händel.[/ame]


My all time favourites....

Ni wimbo upi wa dini unaoupenda sana?
 
asante sana , wimbo huu ni matata sana.....ila ni mgumu sana kuuimba, nilijiufunza nikiwa seminari
 
Kashehe hapo dk ya 2.25 hadi 3.00 unaweza ukapiga ukapiga yowe!
 
mi napenda ile nyimbo
ya mungu ni mwemaa ni mwemaaa
and am not a chriastian.
 
Amazing LOVE

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=x0XFqyGMNMU"]YouTube- You Are My King - Amazing Love - Hillsong[/ame]
 
upo mrembo?
hata kunikumbuka?

Nipo mpendwa, kutafuta maisha kunakula muda wangu karibu wote...yaani nimechoka mwili na akili nahitaji total rest sijui nikimbilie wapi easter ...Peru hakuendeki sasa... Natamani ningefika Mwanza hata kwa ndoto - jamani!


Annina
 
Nipo mpendwa, kutafuta maisha kunakula muda wangu karibu wote...yaani nimechoka mwili na akili nahitaji total rest sijui nikimbilie wapi easter ...Peru hakuendeki sasa... Natamani ningefika Mwanza hata kwa ndoto - jamani!


Annina


nikutumie ndege?
gulfstreem????
 
Hii ni kati ya nyimbo nipendazo na ujumbe wao..

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=rkIr0b46SS8"]YouTube- Fuata Nyayo-Ambassadors of Christ[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=k2IF8q2yOZs"]YouTube- Angela Chibalonza "Ebenezer"[/ame]

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=3KWArHnvHOo"]YouTube- Hapa nilipo[/ame]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom