Shhhhh..Kwaresma hii,hatutakiwi kuimba Haleluya jamani
wat are u??mi napenda ile nyimbo
ya mungu ni mwemaa ni mwemaaa
and am not a chriastian.
budhist.wat are u??
ok, nialike temple kwa Panyasekra nije nisikilize nyimbo zenubudhist.
ok, nialike temple kwa Panyasekra nije nisikilize nyimbo zenu
upo mrembo?
hata kunikumbuka?
Nipo mpendwa, kutafuta maisha kunakula muda wangu karibu wote...yaani nimechoka mwili na akili nahitaji total rest sijui nikimbilie wapi easter ...Peru hakuendeki sasa... Natamani ningefika Mwanza hata kwa ndoto - jamani!
Annina
YouTube- Handel - Hallelujah
YouTube- Hallelujah, by Händel.
My all time favourites....
Ni wimbo upi wa dini unaoupenda sana?