Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wakuu Habari ya Kazi Mwanamuziki Hamisa Mobetto alieachia wimbo wake mpya wenye mahadhi ya singeli uitwao Ex Wangu Remix akishirikiana na msanii wa singeli Seneta Kilata, mpaka sasa imetazamwa takriban mara 2m ndani ya Wiki mbili kwenye mtandao wa Youtube unaongozwa na Creator Pro huku audio ikiwa imetayarishwa na Kenny.
Wimbo huo wa Ex Wangu Mobetto anampa pole mpenzi wake wa zamani kwani kwa sasa ameshampata mpenzi mpya ambaye wameshibana.
Pia, Kwenye aya ya kwanza ya wimbo huu Mobetto anaimba Nakupa pole umeshachelewa, pole dear ex mwenzako nimewahiwa
Wakuu Ex Wake Nasibu Abdul, Vunja Bei Anaupiga Mwingi Kunako Anga Za Singeli Wakuu ila all in all Seneta Kilaka amembeba sana Hamisa Kwenye Huo Wimbo Maana Naona Hamisa Hajaimba Lolote.