Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,244
2,000
Nimekuuliza wew maana jinsi ulivyofananisha charts za Clouds na Billbroad ni kama mfumo wao wa nyimbo kuingia kwenye charts unafanana kitu ambacho si kweli
Kuna nyimbo ya Tanzania ilishawahi kuingia billboard? Huo mfumo sio inclusive, tofauti na SIRI, ipo extremely cummulative and inclusive
 

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
482
250
Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa.

Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu anaiulizia Tanzania sasa hivi, hata search rating za Tanzania zimepanda sana kwa sasa.

Video clips zina maelezo zaidi:

Kumbe nawe umegeuka kundi la kusifu na kumuabudu Diamond? Una vigezo gani vya kuulinganisha wimbo huo na zingine zote DUNIANI??

We ni kama sisimizi ndani ya kopo. Anajua kuta za kopo ndio mwisho wa dunia kumbe huku nje dunia ni kubwa ajabu!
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,244
2,000
Ndio tunaingia 13 million views, in 1 week +, ila naona Alikiba anaanda bomu la nuclear huko, hadi nimeogopa, daah..πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
1,855
2,000
I think nyimbo namba moja inaweza kuwa monsters ya shawn mendes na justin bieber or bill eilish therefore im sababu imeingiza views milion 50 ndani ya siku tatu nadhani.

Hiyo inaweza kuwa namba moja afrika mashariki.
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,244
2,000
I think nyimbo namba moja inaweza kuwa monsters ya shawn mendes na justin bieber or bill eilish therefore im sababu imeingiza views milion 50 ndani ya siku tatu nadhani.

Hiyo inaweza kuwa namba moja afrika mashariki.
Tanzania na Africa kwa ujumla wenye access na internet ni chini ya 15%, hivyo kuna factor inatumika unapolinganisha na nyimbo ya sehemu ambapo internet connectivity ni zaidi ya 90% (mara sita zaidi), hivyo SIRI ikiona 10million views ya Waah huwa inafanya mara sita (60 million views) kabla haijaanza kulinganisha na nyimbo yeyote ya marekeni, sijui unanielewa lakini?
 

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
809
500
Hata ikiwa hivyo, haiwezi kuwa kweli. Hizi system zinajibu maswali according to locality. Ingelikuwa huo wimbo unaongoza huko kwingine kama tidal, spotify, boomplay, amazon, itunes, basi angekuwa kaingiza mpunga kuliko Drake πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
Mwambie atumie VPN afu aiulize tena SIRI, tuone kama ni kweli 😹
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom