Wimbo wa Child Benz ft Q chief_muda

Tit 4 Tat

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
737
986
Sio mwngne ni yule yule king Kong kutoka lafamilia karudi tena kwenye ubora ule ule wa DaresSalam stand up, kama ujaisikiliza isikilize afu sema chochote kuhusu chidbenz kwa wimbo huu.
 
Attachments

  • Chidi+Benz+ft+Q+Chilla-+MUDA%281%29.mp4
    3.8 MB · Views: 109
Yan hlo dude nlipo lisikia xxl lilinpa mahisia makali sana hasa pale anapo imba chila nili mkubali sana na nlivo kuja kuona kwenye clouds E ndo kabisa kiujumla jamaa karudi fresh sana
 
Yan hlo dude nlipo lisikia xxl lilinpa mahisia makali sana hasa pale anapo imba chila nili mkubali sana na nlivo kuja kuona kwenye clouds E ndo kabisa kiujumla jamaa karudi fresh sana
Yap! Chilla kaimba kwa feeling sna kutoka moyoni mm mwenyewe nlitamani hata kulia,wote wapo na energy ya kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom