Tit 4 Tat
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 737
- 986
Yap! Chilla kaimba kwa feeling sna kutoka moyoni mm mwenyewe nlitamani hata kulia,wote wapo na energy ya kutosha.Yan hlo dude nlipo lisikia xxl lilinpa mahisia makali sana hasa pale anapo imba chila nili mkubali sana na nlivo kuja kuona kwenye clouds E ndo kabisa kiujumla jamaa karudi fresh sana
Pale ni kuedit kijanja....tuuKwenye huo wimbo alipo mtaja Gadna ndiyo kaharibu station nyingine wataupiga kapuni...
labda......ila angetwist kama jay moe angerud kwa kasi sanaLabda mashabiki bado wanaipenda hiyo hiyo ya 2008 ndio maana abadiliki.